Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,531
Ana goli ngapi hapo wolves?Jimenez yuko vzr kuliko Martial, style yake huwa namfananisha na Suarez wa Liverfool
Nike sponsorship program..hakuna swala la shauku ya kuja United hapo
Jamaa ametania tu nawe unachukulia seriousWacha mambo yako mkuu huyo drink water ni mchezaji wa tm ndogo usisikilize maneno ya waingereza.
26 goals in all competitionAna goli ngapi hapo wolves?
Umeulizwa?-
[emoji2788] "Hakuna cha ajabu alichofanya kuhusu kutwaa Epl, Laliga & Serie A. Danilo alitwaa Epl akiwa nasi hapa Man city, alishinda Laliga akiwa na Real Madrid na akatwaa kombe la Serie A akiwa Juventus"
"Ukichukuwa Mchezaji kutoka kwenye ligi ndogo hapa duniani, na akampeleka Juventus, nakuhakikishia kwamba msimu ujao atakuwa na medali ya ubingwa ikizunguka shingo yake"
"Aaron Ramsey alijiunga Juventus msimu uliopita, na leo anamedali. Juventus kushinda ubingwa wa Serie A sio habari kwetu"
"Ni kama Mchezaji akijiunga Bayern Munich au Celtic na kuita eti anafata changamoto mpya, nacheka kwa kauli kama hiyo"
Pep Guardiola kwa Ronaldo
Ipo sababu kubwa tu. Ile in silverware kubwa na ya heshima pia japo si kama UCL. Lakini pia ni sehemu ya masndalizi ya kuzidi kuwakomaza na kuwaweka pamoj zaidi kimapambano wachezaji wetu hasa hawa wadogoLkn utd inanivusha msimu vema, tena ikiwa inapigania Europa.....hivi niulize wajuzi huwa siachi kuuliza
...je utd unasababu ya kupigania ueropa league wkt imeshavuka kwenda elite league?
Au kwa ajiliyakuliweka kwenye museum?
Wacha mambo yako mkuu huyo drink water ni mchezaji wa tm ndogo usisikilize maneno ya waingereza.
We jamaa na huyo flamini wako umeamuabasi tumchukue flamini, yule jamaa mkali sana arsenal walishindwa kumlipa
Okay, kumbe sisi ndio tunamchanganya woodward, sasa imekuwa we need three more from we need three
Yaani kiukweli huyu Raul Jiminez hapana , hapa ni kupoteza 72M Euro za bure labda kama atakuwa sub ya Martial akitokea benchi.★Manchester United are closing in on the signing of Raul Jimenez from Wolves,
according to Portuguese outlet RTP [emoji1166] [emoji837]★View attachment 1522402
nataka niwe msomaji comments za wachangiaji kwa kipindi hiki, humu ndani inapatikana burudani ya kipekeee.
kwa manchester united usajili wa mchezaji mmoja unachukua wastani wa wiki 6- mc cane
hahahahahaaaaa.
========================
niwakumbushe:
man utd hatujawahi kukosa soko la kununua mchezaji ndio maana tumekuwa tukivumishiwa usajili wa wachezaji takribani 50 kwa kila dirisha (leo hii tunavumishiwa usajili james rodriguez ),
changamoto kubwa inayotukabili kwa sasa ni kutafuta mnunuaji wa wachezaji wetu, pindi wachezaji wote watakaporudi klabuni tutakuwa na jumla ya wachezaji 35.
wage bill structures inatuumiza na inatuadhibu kwa sasa......wanunuzi wapo kimya ila wauzaji wanaongezeka
- alex sanchez anarudi - man utd watamlipa mshahara wote na bonus ya champions league.
- chris smalling anarudi- tulimpa mkataba wa kufuru msimu uliopita
- marcos rojo anarudi - mshahara wake unakaribia au kuvuka paundi laki moja, nani anamuhitaji marcos rojo?
- phil jones tulimpa mkataba wa miaka mitatu msimu uliopita sijui ni kwa lengo lipi
- jesse lingard ana mkataba wa muda mrefu na anavuta paundi laki moja au zaidi
- dean henderson anarudi
- nani anamuhitaji diogo dalot tuliyemsajili kwa paundi millioni 20
- nani anamuhitaji andreas perreira
- nani anamuhitaji eric bailly (mr injury prone)
Hii ngoma ngumunataka niwe msomaji comments za wachangiaji kwa kipindi hiki, humu ndani inapatikana burudani ya kipekeee.