Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

SAF kauza mechi tena leo,sijui GIGGS anampa nini huyu mzee
 
SAF kauza mechi tena leo,sijui GIGGS anampa nini huyu mzee
Tungeshinda hii mechi halafu city akafungwa na spurs, then tungehitaji kushinda game na villa OT, but kwa matokeo haya kombe tunaenda kulichukulia emirates 28th april
 
Tungeshinda hii mechi halafu city akafungwa na spurs, then tungehitaji kushinda game na villa OT, but kwa matokeo haya kombe tunaenda kulichukulia emirates 28th april
Tunatakiwa kushinda game zetu na sio kutegemea City afungwe,tulianza msimu vizuri sana ila tunamaliza vibaya kwa kiwango hiki hakuna hata uhakika wa kushinda mechi ijayo.Tom Cleverly alisaidiana vizuri sana na Carick mwanzoni mwa msimu sioni umuhimu wa kuendelea kumchezesha Giggs ambae anakaribia miaka 40 na kuwaweka benchi vijana kama Anderson na Cleverley.
Paul Pogba aliondoka kwa mambo kama haya na kaenda Juve msimu wa kwanza tu lakini ameonyesha kiwango kikubwa
 
Haiwezekani katika mechi zilizobaki ManU wakashindwa kupata point 3 ili kujihakikishia ubingwa.........hongereni Mashetani....
 
Tunatakiwa kushinda game zetu na sio kutegemea City afungwe,tulianza msimu vizuri sana ila tunamaliza vibaya kwa kiwango hiki hakuna hata uhakika wa kushinda mechi ijayo.Tom Cleverly alisaidiana vizuri sana na Carick mwanzoni mwa msimu sioni umuhimu wa kuendelea kumchezesha Giggs ambae anakaribia miaka 40 na kuwaweka benchi vijana kama Anderson na Cleverley.
Paul Pogba aliondoka kwa mambo kama haya na kaenda Juve msimu wa kwanza tu lakini ameonyesha kiwango kikubwa

well city kapigwa na spurs, leo tunatangaza ubingwa lakini kombe litatolewa katika mechi ya mwisho ya OT 19th may vs west brom, jumapili ijayo ars8 watafanya guard of honor wakati wachezaji wa utd wakiingia uwanjani.

kuhusu timu kwenye upande wa kiungo kunahitajika marekebisho makubwa. Giggs hajaisha lakini hawezi kuwa tegemeo, na Carick akiumia inakuwa disaster kwenye midfield. Kumtumia rooney kama Attacking Midfielder haitoi matokeo mazuri dhidi ya wapinzani wenye quality kutushinda kwani rooney ameongezeka uzito na kasi/ari vimepungua tofauti na muda ule na kina cr7. Yule Pogba alikuwa anataka first team ili asiondoke ndiyo maana SAF akamuacha aondoke.

Kinachotakiwa ni Cleverly na Anderson wawe rejuvinated kama ilivyotokea kwa fletcher misimu iliyopita ili waweze kuwa na mchango mkubwa na kuaminika kwenye timu, pia wanunuliwe angalau two world class midfielders kama Wanyama/Montolivo and the likes ambao wanaweza kuwa kama Roy Keane na Scholes. Lakini sasa hivi SAF anawafuatilia Lewandoski na Falcao wakati kuna RvP, Hernandez, Welbeck, Rooney, Bebe na Macheda.
 
Duh Robin "Volley" parsie!. Unaweza kumchukia mpinzani wako ila kama mtu mkali sema ukweli unazi pembeni Robin Van Parsie ndio PFA Player wa kweli kwa tabia na namna alivyoipa nguvu walioikosa mwaka jana United.
 
nimekuja kuwapa hongera bana ... hongereni kwa kubeba ubingwa
 
Back
Top Bottom