Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hongereni majirani ila relief ni kuchukua ubingwa mapema si kuutangazia Emirates ingekuwa mtaftano..

RVP's goal today, David Luis's volley against fulham last wesnesday na kuna mchezaji wa Aston villa alifunga wonder goal dhidi ya Stoke wiki 2 zilizopita yatakuwa magoli 3 ya msimu
 
Asante sana chifu.

Ila jiandaeni kutoa "guard of honour" hapo Emirates.

Wacha na pacha yako Wacha1 mpo wapi? Njooni mtoe hongera huku.
 
Last edited by a moderator:
_67169504_14486244-6dcb-4519-a437-ceac71db8890.jpg

_67170829_017809655-1.jpg

_67171952_67171950.jpg
 
Asante sana chifu.

Ila jiandaeni kutoa "guard of honour" hapo Emirates.

Wacha na pacha yako Wacha1 mpo wapi? Njooni mtoe hongera huku.

Kawaida maana hata mwaka 1991 Arsenal walipata "Guard of Honour" Old Trafford (3-1) win to Arsenal (hatrick ya Alan smith) na mwaka 2002 wakatangaza ubingwa Old trafford kwa kushinda 1-0 (wiltord)

Kutangazia ubingwa Emirates ingekuwa painful bora tumeikwepa lol
 
Leo unashikilia historia chifu?

Wewe na wenzako Wacha Wacha1 Viper Balantanda someni picha hii.
 
Attachments

  • 5fe64feab93737e7ae83b3141bf556fb.jpg
    5fe64feab93737e7ae83b3141bf556fb.jpg
    14 KB · Views: 37
Last edited by a moderator:
duu majirani naona mmeamua hongereni maana hiyo mipango ni hatari tupu..
 
Nakupa picha kuwa tumewahi fanya unachofanyiwa next sunday upo hapo...msije sema haijawahi tokea

Haya chifu.
Ila wape salamu Wacha na Wacha1, hapa naona Wacha1 alipata homa ya ghafla baada ya goli la pili la RvP.
 
Attachments

  • 32dc9064afd42dd188841b896dad63dd.jpg
    32dc9064afd42dd188841b896dad63dd.jpg
    77.3 KB · Views: 35
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom