Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na mm niombee hivyo, umeelezea kitaalamu sana "Jamaa anabadilika kwenda juu" and this is aweso
 
I'm a Man Utd fan and completely against the idea to buy Grealish.

We need world class players kama kweli tunataka ubingwa.
Wewe ni kama mm yule jamaa analeta nn jipya pale, utd sio club ya kujaribu.....na nadhan tatizo kwetu linabaki Kwa edu tabia yake usajili huwa ya hovyo
 
Lkn utd inanivusha msimu vema, tena ikiwa inapigania Europa.....hivi niulize wajuzi huwa siachi kuuliza
...je utd unasababu ya kupigania ueropa league wkt imeshavuka kwenda elite league?

Au kwa ajiliyakuliweka kwenye museum?
 
Hapo kwenye kugombea kombe itoe Arsenal, huwa hawagombanii kombe wale.
 
Alafu mkuu pogba anatakiwa awe anacheza no.10 zen Bruno acheze no. 8 lkn awe huru kwenda popote, wakati huo huo tuwe na no.9 dizain ya Kane au Aguero apo ndo mtajua pogba ni mchawi wa penetration kwa kiasi gani, co unaweka pogba no.10 af no. 9 Martial yn apo utakuwa unajaza pipa kwa kisoda.
 
Yah Rashford ni mchezaji mzr pia ana talent kubwa icpokuwa ana makosa makosa ya hapa na pale ambayo wkt mwngne yanai cost tm, mfano atapewa pasi fulani hv zen anavyoipokea tu utagundua kwamba jamaa ni first class player na hata anavyo drible mpira he's so good at dribbling but interms of passing hayuko vzr sn pasi zake nyingi huwa zinapotea, ofcz ni mchezaji mzr ila anahitaji angepata kocha dizain ya Pep au Fergie angekuwa mtamu sana
 
Mkuu mm mwenyewe nilikuwa mnazi wa Martial lkn ukweli ni kwamba tusitarajie kikubwa kutoka kwake japo amepandisha kiwango but utd ni kubwa sana kwake ictoshe ni mvivu sana.
 
Rudi nyumbani kumenoga
 
Lkn utd inanivusha msimu vema, tena ikiwa inapigania Europa.....hivi niulize wajuzi huwa siachi kuuliza
...je utd unasababu ya kupigania ueropa league wkt imeshavuka kwenda elite league?

Au kwa ajiliyakuliweka kwenye museum?
Europa inasaidia usipangwe na Vigogo Uefa, sijajua msimu ujao itakuwaje ila wababe wa makundi ni bingwa mtetezi Uefa, Bingwa wa EUropa, na mabingwa wa ligi sita kubwa, hivyo kama tunachukua Europa inamaana Psg, Bayern, Madrid, Juve na bingwa wa Uefa msimu huu hawawezi pangwa kundi moja na sisi.

ukiingia kawaida unaweza kuta kundi lina bayern na Barca tayari, unaingizwa na wewe na mchovu wa kundi unakuta timu kama Zenit, kila mechi fainali hapo.
 
Lkn utd inanivusha msimu vema, tena ikiwa inapigania Europa.....hivi niulize wajuzi huwa siachi kuuliza
...je utd unasababu ya kupigania ueropa league wkt imeshavuka kwenda elite league?

Au kwa ajiliyakuliweka kwenye museum?
Sababu ipo..na ni simple tu..TEAM km UTD inatakiwa kumaliza msimu na atleast 1 or 2 silverwares..kumaliza msimu bila kombe ni disappointment kwa timu kubwa km UTD so kila kilchopo mbele kitapiganiwa mpk dkk ya mwisho..haijalishi km ni carabao au FA..


alaf; ukishinda EUROPA unapata nafasi ya kucheza UEFA SUPERCUP kwahyo ni kombe lingine hilo unakuwa umepata km ukishinda mechi yako.
Two in one.
 
Hapo Dembele tu au Ighalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…