Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man U hajamaliza Top 4 mkuu, ni top 3.
Tumeuna, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno
Umetutoa mbali, ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu, watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako, milele tutakusifu
Daima we umwema tutaishi kwako
Tumeuna, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno
Umetutoa mbali, ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu, watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako, milele tutakusifu
Daima we umwema tutaishi kwako
 
Lampard ndo msimu wake wa kwanza kufundisha timu kubwa. Wakati Ole keshashusha adi timu daraja uko...

Lampard kajitahidi sana alafu kumbuka Chelsea haikufanya usajili wowote mwanzoni mwa msimu
Lampard kafundisha derby wewe zuzu
 
Kwamba Lingard kaona aje afunge goli lake la mwisho ili tuseme alitupeleka UEFA ndo atuachie timu yetu.. [emoji3][emoji3]
 
★Back in The Business [emoji161][emoji154][emoji158]★
★Back in UEFA Champions LEAGUE #HereWeGoMU
#GGMU★
LET'S START [emoji125][emoji100][emoji626]
IMG_20200726_200918_228.jpeg
 
With Champions League qualification squad yetu inahitaj maboresho

1. Goalkeper Rudisha Dean Henderson
2. Central Back mmoja
3. Winger weka Sancho
4. Midfilder offload lingard pereira sajili Grealish kwa ajili ya squad Depth
5. Striker Mwengine kipind Ighalo anaondoka January tuwe na Mbadala
 
Back
Top Bottom