Logic itakuwa hivi,Logic itakuwa ni hivi, kama Moyes aliweza kupata draw na Man Utd kwa kikosi alichonacho na ukizangatia ukubwa wa kikosi cha Man Utd kwa sasa, basi pound to pound, Moyes ni bora zaidi ya Ole.
Logic itakuwa ni hivi, kama Moyes aliweza kupata draw na Man Utd kwa kikosi alichonacho na ukizangatia ukubwa wa kikosi cha Man Utd kwa sasa, basi pound to pound, Moyes ni bora zaidi ya Ole.


..Comment ya hovyo tokea nianze kuujua mpira..Mbona Point ziko sawa ..nin tatizo?Ole kafungwa mechi chache msimu huu kuliko Pep na Lampard sasa kama Ole ni tia maji tia maji hao wengine wanahali gani ???
Lampard ndo msimu wake wa kwanza kufundisha timu kubwa. Wakati Ole keshashusha adi timu daraja uko...Kufungwa mechi moja katika mechi 20 huku ni kubahatisha mkuu ?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Ole anauwezo kuliko Lampard.



Bila 100M Euro Martial hachomolewi hivihivi, na ambavyo ana mkataba mpaka 2024 sijui ! dau litakuwa zaidiIvi wakuu hatuwezi mnunua Shane Long? tunawapa martial na pesa kidogo.
Tukimpata Long kombe hili hapa.
Kwani yeye kwa mpira wake huo anaocheza unafikiri atachomoka na ushindi? Alikuwa mbele pointi 13 , sasa hivi anazidiwa moja . Yeye ndiye anayewaza kama ataweza kuchomoka na ushindiKwa mipira yenu hiyo ya kubangaiza
Hamtoki pale King power
Pima akili yako mkuu kwahiyo wewe leo hii ni wakujilinganisha na leicester???Kwani yeye kwa mpira wake huo anaocheza unafikiri atachomoka na ushindi? Alikuwa mbele pointi 13 , sasa hivi anazidiwa moja . Yeye ndiye anayewaza kama ataweza kuchomoka na ushindi
Sasa kwahyo umekubali kuwa Man u imetumia pesa ndio maana imeimprove kuziba pengo la pointi 13.Pima akili yako mkuu kwahiyo wewe leo hii ni wakujilinganisha na leicester???
Kwa mnavyospend pesa kweli ujilinganishe na Leicester au ndo bora lawama kuliko fedheha
..Comment ya hovyo tokea nianze kuujua mpira..
Samahani mkuu..