dhk1
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 999
- 652
Tuko pamojaI'm sick
Tusipoingia top four itabidi nile konyagi ya kutosha sana leo ili nipate usingizi
GGMU
Tuko pamojaI'm sick
Tusipoingia top four itabidi nile konyagi ya kutosha sana leo ili nipate usingizi
GGMU
hahahh team pinzani sio vilema wale ujue.. Kua mpole tutashinda tuManchester mngejua leo natumia bando langu tena ile 1080p kuangalia huu ujinga mnaofanya mngenilipa asee!!
Tatizo hamna passion na team yenu,yaaaaaani mnacheza basi tu na vile mnajua mnalipwa ndio bure kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee jamaa achaga kufatilia maisha yetuHatimaye jina la CHELTAKO limepitishwa rasmi na wenyewe[emoji23][emoji23]View attachment 1517557
Endelea kutoa update. Ikawaje★Jamani Jamani Livapunga sekunde ya 26 Goli [emoji23][emoji23]★
hahahh team pinzani sio vilema wale ujue.. Kua mpole tutashinda tu
Hahahahahahahahah EbaneeeeHata kama sio vilema,tuko lege lege kinyama,sijui huwa wanafanya nini wachezaji wenu aseee
Kipindi cha pili sichomi MB zangu kizembe...heri nizitumie kuangalia hata porn,nitaangalia matokeo tu
Kwahio pono ndo kimbilio lako kuu? Asee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata kama sio vilema,tuko lege lege kinyama,sijui huwa wanafanya nini wachezaji wenu aseee
Kipindi cha pili sichomi MB zangu kizembe...heri nizitumie kuangalia hata porn,nitaangalia matokeo tu
Now ni 1-1Endelea kutoa update. Ikawaje
Mkuu unaweza kunisogezea link nishuhudie huu mtanange?Hata kama sio vilema,tuko lege lege kinyama,sijui huwa wanafanya nini wachezaji wenu aseee
Kipindi cha pili sichomi MB zangu kizembe...heri nizitumie kuangalia hata porn,nitaangalia matokeo tu
Matterqo weweKila la kheri timu yetu Leicester
Tuko nyuma yako