ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,528
- 7,923
LINGAAAAAARDDD FT 0-2, WATU WAMENITUKANA HAPA..
SAFI LINGARD AWAKIMBIZE KIMBIZE HAWA MPIRA UMEPOA SANA KWA UPANDE WETU
SAFI LINGARD AWAKIMBIZE KIMBIZE HAWA MPIRA UMEPOA SANA KWA UPANDE WETU
poleLeo nyumbu out top four , na sidhani kama mtatia pua yenu kwenye huu uzi baada ya game leo
Bingwa wa nini?? Play off inakujitaji UEFAHahhaha bingwa acheze playoff? ... naona you earn them every single match that is damn consistent!
AmeeenTumeuna, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno
Umetutoa mbali, ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu, watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako, milele tutakusifu
Daima we umwema tutaishi kwako
Tumeuna, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno
Umetutoa mbali, ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu, watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako, milele tutakusifu
Daima we umwema tutaishi kwako
Hapa akiingia Perez na Barnes itakuwa ni kilio humu.
Haha bingwa wa ligi uliyomo acheze play off alafu wewe wa top 4 uingie UEFA au sio?Bingwa wa nini?? Play off inakujitaji UEFA
Maisha yanabasilika sana,Leo hii Manchester United wanafurahia kumaliza top 4 kweli.Ila kweli, wangeingia Perez na Barns Utd angepigwa nyingi sana![]()
★
Sub gani hii?
Greenwood OUT
Lingard IN
Ongea tena
Unaangaika sana kama mtetea anayetafuta jogoo.Piga mbuzi haooo....
Naona hii nafasi ilikuwa inatupenda zaidi kuliko ile ya 5.End of the season 3rdView attachment 1517730
Mzee baba huoni walikuwa wanaenda kusahau mara ya mwisho kucheza UEFA achilia mbali kulibeba?Maisha yanabasilika sana,Leo hii Manchester United wanafurahia kumaliza top 4 kweli.

Maisha yanabasilika sana,Leo hii Manchester United wanafurahia kumaliza top 4 kweli.
Man U hajamaliza Top 4 mkuu, ni top 3.Maisha yanabasilika sana,Leo hii Manchester United wanafurahia kumaliza top 4 kweli.