BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 6,417
- 12,979
Umetumia pesa kugombania top4Sasa kwahyo umekubali kuwa Man u imetumia pesa ndio maana imeimprove kuziba pengo la pointi 13.
Alafu ,Kazi ya pesa iliwekwa kwa ajili ya nini?? Si kutumika. Na kwanini timu isipoleta matokeo mazuri inaingia sokoni? Unafikiri Chelsea wenyewe walivyoingia sokoni si kwasababu ni wabovu uwanjani na hawajakamilika kiakili, ndio maana Lampard ametumia pesa kuleta wachezaji ili kusaidia VILAZA walioshindwa kuleta matokeo mazuri. Hiyo ndiyo kazi ya pesa .
Kwahyo Man u Ametumia pesa ndiyo maana kapunguza gap la point 13 kwa mechi 13.
Mbaya zaid top 4 mpk sasa kwako haieleweki mkuu