Champions League ni hela, inapaswa kuwa mechi ya do or die
Ukiachana na sababu za kisoka Club, Wachezaji na makocha watapoteza fedha nyingi sana endapo United haita qualify Champions League
United isipo qualify Champions League itanyimwa £20 na mdhamini wake addidas
United isipo qualify Champions League itakosa £70M zinazotolewa UCL, itapata £20M zinazotolewa Europa League (Pungufu £50M)
Pia kuna uwezekano kwenye ku negotiate deals na TV ikadhulumika kutokana na Europa League status badala ya Champions League status.
Inakisiwa hata bidhaa zake kama mauzo ya jezi, vipindi vya TV n.k yatashuka
Wachezaji wataendelea kupata posho yao ikiwa pungufu 20% kutokana na kuto qualify Champions League (ipo kwenye mikataba yao)
United ikiingia Champions League, kesho Ole Gunnar atakuta £1M zaidi kwenye akaunti yake
Game ya leo ni ya kulinda heshima, game ya leo ni kulinda hela zisipeperuke
Tukumbushane
United anahitaji walau draw ili aingie top 4, Chelsea anahitaji walau draw ili aingie top 4. United akipigwa Chelsea akishinda ndio baba Jane Bye Bye. Chelsea akipigwa United anaingia ndani ya Champions League kwa matokeo yoyote. Wakati ni lazima Leicester ashinde ili aingie Champions League, pia ni lazima Wolves ashinde ili msimu ujao acheze Europa League maana Jose is sniffing behind their shoulder.
Leo itakuwa ni kati ya siku ambayo mashabiki wanatamani waangalie mechi zote, au walau mashabiki wataziweka bize sana app zao za matokeo kama Live Score
Hi ni game ambayo OGS anapaswa kuthibitisha kuwa ana uwezo wa kushinda when it matters
Msimu ujao siku kama ya leo hatupaswi kuwaza mechi ya mwisho kwetu kama Champions League decider, inabidi iwe mechi ya kuamua EPL winner, sababu hii ni Manchester United