Mkienda champions league ntatembea uchi toka Mwenge hadi PostaKulingana na mbio za top 4, haya ni matokeo mazuri.
Kilichonishangza ni bruno kucheza tena 90+ mins.
Ni ukichaa wako tuu, usisingizie United.Mkienda champions league ntatembea uchi toka Mwenge hadi Posta
Tumpe mudaPaul Pogba. sad.
Nyie mkitaka mpigwe tuu.Huu ni muda wa washabiki wa Man Utd kuiombea Liverpool ushindi.
Hatutawaangusha.
Kwa leo draw ni sawa tungeshinda 2-0 au 1-0.Game la leo lilikuwa muhimu sana kuingia top four. Hii draw imetuweka pabaya. Sasa tunategemea matokeo mabaya kwa Chelsea mechi zote mbili au kutofungwa na Leicester kitu ambacho ni kigumu kwa hali tuliyo nayo kwa viwango vya wachezaji.
Kuna wachezaji hawapaswi kuwa first 11. AWB amecheza hovyo sana mechi za karibuni hapa.