Nadhani tumeandikiwa nafasi ya 5![]()
🏻♂️
🏻♂️
🏻♂️Amenyanyua mikono kama mwanamke anaeogopa mpira.Pogba anamambo ya ajabu Sana.

Ha haaaa hatimae umekubaliBAADA YA BREAK YA CORONA NIMEGUNDUA MARTIAL NOMA SANA...AMEKUWA MPAMBANAJI HASWA. SASA NAMKUBALI KATIKA KIWANGO CHA JUU.