SS5Dstv yangu sioni hii mechi. Ni channel gani ya Dstv? Au hawaonyeshi FA hawa?
Kwannn pogba yupo njeee na martial ??
Yani sojer ni kocha pumbavu saaaana.
Daniel james na fred wanini humu?



Hahaha, kuna jamaa angeiona hii post angekujibu, "usitufokee".
Mmekutana na chuma Cha pua ndio maana mmetepetaHii timu hamna kitu.Hawajafanya shambulio lolote