Kipenseli
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 878
- 1,147
PointlessNyie nyumbu si mnatambua kuwa uwanja wa Wembley uko katika jiji la London na si mnatambua kuwa London is blue basi tukutane baada ya mechi.
PointlessNyie nyumbu si mnatambua kuwa uwanja wa Wembley uko katika jiji la London na si mnatambua kuwa London is blue basi tukutane baada ya mechi.
Aisee huenda tukawa na siku mbaya leo
Ila tukiwaambia Tottenham iliathiriwa sana na Kane, Son na Sissoko kuwa majeruhi mnasema timu ina wachezaji wengi.Toka January hawakuwa na matokeo consistent alipoumia Wilfred Ndidi.
Kuumia kwa James Madisson kumewaathiri sana toka restart hawapati matokeo consistently.
Dah so sad
Big surprise kwa hiki kikosi....ila nadhani fitness ya wachezaji wetu itaamua matokeo ya kipindi Cha kwanza lakini kipindi Cha pili naimani kitatakuwa Cha tabu na mahangaiko kwao maana naziona dalili ..... substitutions zetu zitakuwa kero kwaoAisee huenda tukawa na siku mbaya leo
Dstv hawaonyeshi fa cup mzee angalia azam au star timeDstv yangu sioni hii mechi. Ni channel gani ya Dstv? Au hawaonyeshi FA hawa?
Kwa jinsi walivyopambana kujikuta Europa ni failure kubwa sana.
S5 mkuuDstv yangu sioni hii mechi. Ni channel gani ya Dstv? Au hawaonyeshi FA hawa?
Dstv hawaonyeshi fa cup mzee angalia azam au star time
Squad depth ya Totenham na Leceister zinalingana ?Ila tukiwaambia Tottenham iliathiriwa sana na Kane, Son na Sissoko kuwa majeruhi mnasema timu ina wachezaji wengi.
Nafikiri squad depth inamwangusha sanaTatizo kubwa sana la Timu za Rodgers ni Defense, anaweza kufunga goli nyingi lakini pia anafungwa nyingi pia.
Hata kipindi yuko Liverpool, tatizo kubwa lilikuwa kwenye defense, na ndiyo chanzo cha kukosa ubingwa msimu ule wa 2013/14.
Nafikiri squad depth inamwangusha sana
Leicester ana kikosi bora zaidiSquad depth ya Totenham na Leceister zinalingana ?
Alipokuwa Liverpool injury za Suarez ilimuathiri sana.Yes, hili nalo pia ni tatizo.