Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ile mechi dhidi ya Southampton dah imetuharibia sana, ila Spurs against Leicester lazima Special One awe mzalendo
Hii inaenda mpka siku ya mwisho, hata Spurs akishinda, na Man u akashinda.
Leicester bado ana nafasi through GD , akimfunga United Mechi ya Mwisho.

Mimi naomba tuu Man u ashinde mechi zake( vs Westham& Leicester)
Haya mambo ya kuombea timu pinzani ifungwe muda wake umeisha.
 
Mi shida yangu ni West ham hiyo Alhamisi ijayo.

Mechi ya FA, pumzisha key players.

De gea
,AWB, Matic, Pogba, Bruno, RaShford, Martial)

FA haina maana tukikosa top four.

Kwa maoni yangu mechi ya muhimu zaidi ni ya mwisho dhidi ya Leicester away

West Ham tunatakiwa kuwafunga hata wakina Lingard wakicheza

Ila kumbuka Leicester mechi ijayo yupo away dhidi ya Spurs, Chelsea away kwa Liverpool

*FA sio mbaya tukichukua pia mkuu, timu kubwa lazima iwe ina win makombe
 
Usisahau Ckelsea nae atamfuata liver
Hapo lazima mmoja au wote watafungwa
Naamini Top 4 tunaingia kabla ya kukutana na Leicester

West Ham tumpige goli kuanzia 3 ili Leicester akifungwa mechi ya mwisho draw tu itatutosha

Tungechukua points 3 dhidi ya Southampton, week ijayo tungekuwa tayari tumemaliza tatizo la kumaliza kwenye top four

Pamoja na hayo hakuna sababu kwanini tusimalize angalau wa 4, kumaliza 3 kunawezekana SANA
 
Hii inaenda mpka siku ya mwisho, hata Spurs akishinda, na Man u akashinda.
Leicester bado ana nafasi through GD , akimfunga United Mechi ya Mwisho.

Mimi naomba tuu Man u ashinde mechi zake( vs Westham& Leicester)
Haya mambo ya kuombea timu pinzani ifungwe muda wake umeisha.

The Fox wakifungwa na Spurs, Utd wakaifunga vizuri tuu The Hammers, mechi ya mwisho sioni kama Leicester anaweza kutufunga

Kuna sehemu nimesema mechi ya muhimu kwa Utd ni ya mwisho, tushinde tuu kusiwe na matokeo mengine

*Hakuna haja kuizungumzia sana West Ham, maana inatakiwa mechi hiyo iwe na matokeo mamoja tuu
 
Mimi na assume Leicester na Chelsea watashinda games zao zinazofuata.

So tunatakiwa kushinda game zote, ikitokea mmoja au wote waka slip, hiyo ni bonus kwetu.
 
Dear Zaha,

Of crystal palace today l bestow upon you the power of CR7 , the skills of Messi , the scoring ability of Pele and even the bumbum of Hazard. l give to you the grace of Arsenal who destroyed the dream of 100 points last night.
Go forth and be successful in your pursuit to move away from relegation zone. I just love this guy not for anything but as a football loving fan.

Kila la kheri Crystal PalaceView attachment 1508829
Ww kiazi matokeo nadhani unayo
 
Kwa maoni yangu mechi ya muhimu zaidi ni ya mwisho dhidi ya Leicester away

West Ham tunatakiwa kuwafunga hata wakina Lingard wakicheza

Ila kumbuka Leicester mechi ijayo yupo away dhidi ya Spurs, Chelsea away kwa Liverpool

*FA sio mbaya tukichukua pia mkuu, timu kubwa lazima iwe ina win makombe
Itapendeza tukienda Final,

I hope ole ata balance mambo, kuna wengine atawapumzisha, wengine waanzie benchi, sio mbaya.
 
Imagine maguire akutane na atalanta c mtapigwa 10 nyie .kwa nn msibaki europa na msimu ujao wakati mkitafakari jinsi ya kutengeneza kikosi kikali.kwa nn mnazitafuta aibu kwa nguvu kubwa hiv

Et manyumbu????
 
Kwa maoni yangu mechi ya muhimu zaidi ni ya mwisho dhidi ya Leicester away

West Ham tunatakiwa kuwafunga hata wakina Lingard wakicheza

Ila kumbuka Leicester mechi ijayo yupo away dhidi ya Spurs, Chelsea away kwa Liverpool

*FA sio mbaya tukichukua pia mkuu, timu kubwa lazima iwe ina win makombe
Chelsea wanaweza kututoa pia.

Kuwafunga mara tatu mfululizo sio guarantee ya kumfunga tena.
 
The Fox wakifungwa na Spurs, Utd wakaifunga vizuri tuu The Hammers, mechi ya mwisho sioni kama Leicester anaweza kutufunga

Kuna sehemu nimesema mechi ya muhimu kwa Utd ni ya mwisho, tushinde tuu kusiwe na matokeo mengine

*Hakuna haja kuizungumzia sana West Ham, maana inatakiwa mechi hiyo iwe na matokeo mamoja tuu
Usimwongelee Leicester pekee
Chelsea pia ana hali mbaya gap la 1 Pts dogo sana kumbuka ana ratiba ngumu kuliko yetu
Mfano mechi ijayo akifungwa na Liver japo 1-0 na sisi tukishinda hata 1-0 tutakuwa tumemzidi Chelsea 2 Pts bila kuangalia matokeo ya Spurs v Leicester

Halafu mechi ya yetu ya mwisho na Leicester draw itatutosha... .....
 
★Kwani itakuwa ni mala ya kwanza kwa sisi kucheza UEFA CHAMPIONS LEAGUE mbona mnatoaga mawazo kama hamna Kichwa Juu ya Mabega Nonsense kabisa Utopolo Plus★
Imagine maguire akutane na atalanta c mtapigwa 10 nyie .kwa nn msibaki europa na msimu ujao wakati mkitafakari jinsi ya kutengeneza kikosi kikali.kwa nn mnazitafuta aibu kwa nguvu kubwa hiv

Et manyumbu????
 
Hesabu nzuri
Usisahau Ckelsea nae atamfuata liver
Hapo lazima mmoja au wote watafungwa
Naamini Top 4 tunaingia kabla ya kukutana na Leicester

West Ham tumpige goli kuanzia 3 ili Leicester akifungwa mechi ya mwisho draw tu itatutosha
 
Huu ndio ukweli, japo tukiwa na nyie mnatupiga mkwala kwamba mtawaachia (kwa Ulaya hiyo haijawahi kutokea)

Lakini Liverpool hawezi kurudia makosa especially baada ya kipigo alichopata kwenye mechi ya Arsenal

Liverpool kwa msimu huu unaoishia bado hajafungwa Anfield, points pekee alizopoteza ni dhidi ya Burnley tena sio kwa kufungwa bali kupitia draw

Liverpool kashindwa kupata rekodi ya kushinda ligi akiwa na points nyingi zaidi (100+), lakini wanataka kufikia idadi kubwa ya points katika uwepo wa Liverpool, nazo ni points 99.

Tukiacha upande wa Liverpool, najaribu kuangalia hiyo timu ya kuifunga Liverpool siioni, naona utopolo tu wa akina Tamy na Giroud
Chelsea anacheza na Liverpool Anfield, the best results anayoweza kupata ni draw.

Keep that in mind.
 
Huu ndio ukweli, japo tukiwa na nyie mnatupiga mkwala kwamba mtawaachia (kwa Ulaya hiyo haijawahi kutokea)

Lakini Liverpool hawezi kurudia makosa especially baada ya kipigo alichopata kwenye mechi ya Arsenal

Liverpool kwa msimu huu unaoishia bado hajafungwa Anfield, points pekee alizopoteza ni dhidi ya Burnley tena sio kwa kufungwa bali kupitia draw

Liverpool kashindwa kupata rekodi ya kushinda ligi akiwa na points nyingi zaidi (100+), lakini wanataka kufikia idadi kubwa ya points katika uwepo wa Liverpool, nazo ni points 99.

Tukiacha upande wa Liverpool, najaribu kuangalia hiyo timu ya kuifunga Liverpool siioni, naona utopolo tu wa akina Tamy na Giroud
Kama Liverpool iliweza kufungwa na Arsenal pamoja na Watford basi wanaweza kufungwa na chelsea vizuri tu.

Liverpool sasa hivi hawana cha kupoteza zaidi ya kutengeneza record tu hivyo wachezaji wote wako relaxed sana uwanjani kuliko mwanzoni walipokuwa wanatafuta ubingwa.

Kitu cha msingi tunapaswa tushinde mechi zetu zote bila kujali matokeo ya Chelsea na Leceister City
 
Hii ndiyo inatakiwa.

Tushinde mechi zetu, top4 tunaingia.
Liverpool & Spurs washinde/wadraw/wapigwe. Watajua wenywe.
 
Ni kweli tunapaswa kushinda mechi zetu ili tujihakikishie kuingia top 4

Ukweli mchungu mwingine ni matokeo ya hao top 4 rivals wetu yana mahusiano makubwa na mbio zetu,

Back
Top Bottom