Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Habari njema kwenye mbio za top 4
Screenshot_2020-07-17-10-46-07-1255798484.jpg
 
Kama Liverpool iliweza kufungwa na Arsenal pamoja na Watford basi wanaweza kufungwa na chelsea vizuri tu.

Liverpool sasa hivi hawana cha kupoteza zaidi ya kutengeneza record tu hivyo wachezaji wote wako relaxed sana uwanjani kuliko mwanzoni walipokuwa wanatafuta ubingwa.

Kitu cha msingi tunapaswa tushinde mechi zetu zote bila kujali matokeo ya Chelsea na Leceister City
Kwani walivyofungwa na Watford walikuwa tayari washakuwa mabingwa???
Jidanganyeni tu, unaidharau Arsenal kuifunga Liverpool wewe uliifunga?
Acheni kigezo cha kuidharau Liverpool kwa kigezo cha kufungwa na Arsenal wakati hata wewe mwenyewe umechakazwa na hiyohiyo Arsenal

Wangekuwa hawana cha kupoteza kwanini wapange full mziki?wangepanga kikosi B basi,
Shinda mechi zako usitegemee za mwenzio mkuu,yaani unamtegea Liver amfunge Chelsea ili wewe ukae pazuri?
 
Kwani kuna sehemu nimesema namtegemea Liverpool kumfunga chelsea ili niingie top four ?
 
Sijui kwanini hivi vimashabiki vya Arsenane , Chelsea na Liverpool vipo teyari kuungana na kuona man u inaangamia kwa kutoingia top 4. Cha ajabu yaani hata Arsenane ambaye yuko mahututi huku akipumlia mdomo na kula chakula kupitia mishipa akiwa hoi kupambana na hali yake kuingia Europa naye bado tu focus yake ipo kwenye matokeo ya Man u. Ila nimekuja kugundua kuwa mziki wa Ferguson wa kutawala Premier league mara kwa mara mfululizo from 1992 to 2013 ndicho kinachowaogopesha mashabiki wa timu pinzani kwamba man wakiingia tu kwenye form basi kuna hatari ya utawala kurudi tena kwa Mfalme Man U. Na sasa ukiangalia dalili zilizopo kwa sasa na rekodi zilizowekwa toka Fundi Bruno kaingia yaani ni tishio.

1. Kwanza ukianza na best front three kuliko timu yoyote Uingireza Yaani Rashford, Martial na Greenwood wenye magoli 60 mpaka sasa,, na tukumbuke hii rekodi mara ya mwisho ilikuwa kipindi cha Ferguson tukiwa na Rooney , Vanpersie na Chicharitto, hivyo dalili za ile man u ya Ferguson inaanza kurejea.

2. Pia Manu kuwa Unbeaten 19 games,, hata Mourinho hakuweka hii record bali ni Man u ya Ferguson ndiyo ilikuwa na uwezo . Ila tumeona toka dirisha dogo la usajili lifungwe tunaona mambo yamewezekana.

3. Martial kuwa striker wa kwanza Man u kufunga hatrick premier league toka enzi za Ferguson na hivyo kufuta ukame wa hatrick kwa washambuliaji wa Man u ,,Sasa hapa tutegemee nyinginezo msimu ujao kutoka kwa Bruno,Rashford,Martial na hata Sancho kama ikitokea kasajiliwa.

4. Man u kuwa timu ya kwanza premier kufunga mabao matatu au zaidi kwenye mechi nne mfululizo. Tukumbuke Ferguson hakuwahi kufanya hiki kitu, hata Arsenal ya 2004 nayo haikuwahi kufaya hili jambo, ila pia na Mancity iliyoweza kufikisha pointi 99 kwa misimu miwili haikuweza kufanya huu mziki uliofanywa na United ya sasa.

5. Man u kuzalisha kinda Mason Greenwood mwenye umri wa miaka 18 ambaye kafunga bao 9 premier League. Tukiseme tuangalie rekodi ya toka Ferguson ameondoka yaani hakuna kabisa, Na isitoshe ukiangalia rekodi ya Chelsea,Arsenal na Liverpool nao pia hawana na hawatakuwa na kinda wa miaka 18 kufunga bao 16 msimu mmoja. Hapa tena msimu haujaisha huenda mechi za Europa akafikisha bao 20, Na tukisema tuangalie rekodi ya timu pinzani za top 4 utapekuwa data base nzima ya premier league na kuambulia utupu, na kama kuna rekodi basi ni miaka 20, 30 au 50 iliyopita ili kumpata kinda wa miaka 18.

6. Bruno kufunga bao 7 na assist 7 kwenye mechi 11 hivyo kutengeneza bao 14 na kumfanya kuwa Midfielder pekee aliyecheza mechi 11 na kuzalisha bao 14 premier league. Ndio maana hata asipofunga lazima atoe assist . Tukumbuke hata ukiangalia waliokuwa midfielders bora kama Fabregas, Yaya toure, Lampard na Hata Kelvin De Bruye bado hawana rekodi ya 11 few matches with 7 goals na assist 7,, Yaani ni jina la BRUNO FERNANDES PEKEE.

Sasa mashabiki wa Chelsea , Arsenal na Liverpool msiogope hizo takwimu na kupanic kwamba utawala wa premier league miaka 2020 na kuendelea inaweza ikarudi kwa mfalme, na hapa bado hatujasajili na je tukisajili si ndio mtakufa na presha. Mafanikio ya sasa hizo zote ni juhudi za wachezaji , kocha na mipango ya Mungu. Kama hii decade ya 2020 to 2030 Mungu kapanga iwe ya Mfalme man u basi hamna jinsi itabidi mzoee kama mlivyozoea 20 years ya utawala wa Ferguson.

MAN U wll always be RED..
 
Usiniambie kuwa umekaa chini umetuliza kichwa umeandika hii kitu,labda kama ume-copy na ku-paste humu kutoka katika vigroup vyenu vya whatsapp au fasibuku...
Maana umeandika nonsense mpaka uvivu kujibu hizo hoja zako,
Kwanza kafanye utafiti inawezekana umecopy mahala na kupaste humu bila kureview,
Soma tena,ukijiridhisha ndio utaamini kuwa huu ulioweka hapa ni UTO.
Yaani hiyo ndio best front3 bora EPL

NYUMBU NI NYUMBU TU.
 
Best 3 EPL ya msimu huu ni ipi?Na ni vigezo gani vinatumika?Kama ni mabao ni sahihi kabisa kama ni tofauti usisite kusema.
 
Usiniambie kuwa umekaa chini umetuliza kichwa umeandika hii kitu,labda kama ume-copy na ku-paste humu kutoka katika vigroup vyenu vya whatsapp au fasibuku...
Maana umeandika nonsense mpaka uvivu kujibu hizo hoja zako,
Kwanza kafanye utafiti inawezekana umecopy mahala na kupaste humu bila kureview,
Soma tena,ukijiridhisha ndio utaamini kuwa huu ulioweka hapa ni UTO.
Yaani hiyo ndio best3 bora EPL

NYUMBU NI NYUMBU TU.
Wewe mwenyewe unavyojieleza unaonesha jinsi unavyopanick.-

Hizi ni rekodi ambazo ziko wazi tokea , Usajili wa dirisha dogo, na wewe ukiachana na ushabiki hizi takwimu zinafahamika na shabiki yoyote wa liver,man u na arsenal hata pia barca na real wote wanafahamu maana hata media zote duniani stori kubwa kwa sasa ni man u na kila mwisho wa weekend kama unafuatilia premier league analysis, kwenye review ya mechi zote za wiki huwa wanaorodhesha kama kuna rekodi yoyote imewekwa na mchezaji , kocha au club.

Alafu nilivyosema best front 3 ya 2019-2020 yenye mabao mengi uingereza ni ya Man u yenye mabao 60. Rashford 22, martial 22 na Greenwood 16 , na hata jana baada ya mechi ya Crystal -palace iliwekwa wazi. Sasa usitake kujifanya hujui wakati unajua kuwa Front 3 ya man u mwaka huu Uingereza ndio imekuwa best kwenye kutia nyavu ya magoli kuliko safu yoyote ya timu za epl.

Ila pia mimi nilichokuwa nalinganisha ni man u ya miaka 7 , ya sasa na ile ya Ferguson ili kuona namna jinsi man u ya sasa ilivyojiboresha. Alafu unasema nimekopi takwimu , kwani wewe unataka kuniambi-a kila anayeleta hapa takwimu si lazima akopi kwenye source zinazofanya hii kazi aidha ni ni premierleague.com, fa.com, uefa.com ,skysports na nyinginezo. Au wewe ulitaka nitoe wapi.

Alafu takwimu za Bruno zinafahamika, takwimu za man u pekee with 4 consecutive wins and 3 or more goals zinafahamika, takwimu makinda bora Epl, yaani Michael owen 18 goals ,Rooney 10 goals Alafu anayefata kwa sasa ni dogo Greenwood with 9 goals ziko wazi,,, Au wewe u-litaka ni-forge data.

Ila namalizia kwa kusema Acha kupanick bwana hiyo ndio Man u mpya itakayokuja. Alafu wewe kama ni shabiki wa arsenal pole maana Ukiachana na Aubamayang + pepe,,,-,, Kiukweli first eleven yeenu inatakiwa kusajiliwa upya.
 
huko ulaya media zao zanishangaza sana bingwa ni liva lakini timu inayoongoza kuzungumziwa ni united
Ni club iliyojaa wapiga domo Ulaya nzima. Yaani wachezaji timu kubwa kama Barcelona, Madrid, AC Milan, Juventus etc wakistaafu kucheza huenda na mishe zao, na kuzungumzia club zao ni pale wameulizwa au club husika imempa kazi. Wachezaji wa Man wakishamaliza kucheza huhamia kwenye vituo vya TV na kila siku ni kuizungumzia Man na mwenendo wake. Hiki ndicho kinaifanya Man Utd kutajwa tajwa kila wakati, ila timu yenyewe ni Newcastle iliyochangamka tu.
 
Kwahiyo wale pundits wote wanaonekana kwenye TVs, ni ex-Players wa Man u.??
Una uelewa mdogo sana.
 
Back
Top Bottom