Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Kule ninapotolea GIF pamezingua yaani unaziona GIF kama hiviView attachment 1508936ila ukizifungua hazionekaniView attachment 1508937
Huyo kiddo reborn ndo wewe ulikuwa unaulizia GIF nini?
Kule ninapotolea GIF pamezingua yaani unaziona GIF kama hiviView attachment 1508936ila ukizifungua hazionekaniView attachment 1508937
Wamchukue chapuSanchez ametoa assist na amefunga huko Italy
Assume ingekuwa 0-1.★Jamani nyongeza 11★

imeisha★
Assume ingekuwa 0-1.
Unaweza bana mpka ukapasua.![]()
Hahahha dear,leo ulale unono sasa!!!Soton walituharibia sana last match
Nilishajiandaa kupatanilale unono, nikawa nashangaa dk za mwisho natoka jasho tu
Saa hizi tungekuwa tumerelax kwenye nafasi ya 3 damn!!!
★
hivi huyu ni martial naye mjua, au hii laptop yangu iko na viruses?
I love you Fernandes
If you see this please give me a like 🤗
Hahaa umetokea wapi kwaniHahahha dear,leo ulale unono sasa!!!


I have given you a like on his behalf!
Nikajua Fernandes kalike 😁
Thanks anyway
Kwahiyo unataka usemeje..Our no 7 arudi sio??Sanchez ametoa assist na amefunga huko Italy
Hahaha, Fernandes yule wa humu au wa Man United kabisa?
Kumbe humu yupo mwenye hilo jina?hahahhah
Mi nampenda wa team yangu pendwa