Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Angalia alichokisema Ole baada ya Mpira Tena hichi ndicho kilinifanya nisilale nafikiri nimpe adhabu gani huyu jamaa ★

★ Solskjær:
"It was the worst time to concede a goal but it happens in football. We have won so many games in that way. It is all part of the learning for this team.".
Ety mtu mzima kabisa anajitoa kwenye hii dhahma kw kusema " It's Part of Learning " Serious so (Tʖ̯T)

manutd
Mkate mshahara tu mkuu,
 
watakula wapi ndugu zake me nataka akili kosa kuwa "Mimi OLE ni chanzo cha hilo goli nilifanya upuuzi wangu Samahani"
mbona fresh namkaushia kuliko kujifanya kosa hajalifanya yeye tena hajui tu na Raia wangekuwa Dimba jana wangempiga hata Bomu sio kwa hasira za tulio toa 500/= Banda umiza Je ambao wamelipa mkwanja mrefu unaweza kuniga mtu kabisa★
Mkate mshahara tu mkuu,
 
Sub iliyobaki ni ya kipa kama sikosei, Maana walioingia walikuwa ni Brandon, James, Fred na Scoty... Ya 5 ndio ya kipa
Sub ni tano, bila kujali nafasi. Ila, kwenye hizo sub, zinafanyika kwa MIKUPUO MITATU, ili kuepuka kupoteza muda. Ole, alishatumia hizo nafasi tatu, kwa kuwaingiza wachezaji wanne. Ukiwaingiza wachezaji watatu kwa vipindi vitatu tofauti, huruhusiwi kuwatumia hao wawili waliobaki.
 
Sawa mkuu

Sio necessary hiyo sub iwe ya kipa..hakuna sheria hiyo..

SHERIA INASEMA UTARUHUSIWA KUFANYA SUB 5 lakini katika VIPINDI VITATU TU! na ukiangalia jana tulitumia vipindi vyote vitatu so ikala kwetu.
 
Ndio maana katika maelezo yangu nilikuwa nasema nadhani, sikuwa nina uhakika, nilikuwa najaribu kutafuta maelezo ya kilichotokea
Sio necessary hiyo sub iwe ya kipa..hakuna sheria hiyo..

SHERIA INASEMA UTARUHUSIWA KUFANYA SUB 5 lakini katika VIPINDI VITATU TU! na ukiangalia jana tulitumia vipindi vyote vitatu so ikala kwetu.
 
Dah

Mwaka huu nafasi ya sita inanukia nukia kweli kwa hii timu hahahahhhhahahaha
 
Kama mpira ungekuwa uajudgewa hivyo basi hili kombe tumpe Chelsea aliyempiga Man city ambaye alimtembezea kichapo cha mbwa koko bingwa Liverpool
Tafsiri yake ni kwamba hata demu akiwa malaya wa kiwango cha lami lakini unaweza ukaenda kumtongoza na akakukatalia inategemea umeenda kwa gia ipi

Oooh kuhusu vita yangu ya top 10 bado napambana na nashukuru sana kwa zile points zako 4 ulizonichangia maana zimesaidia kunifikisha hapa nilipo.
Hizi mbanga zikishindaga gemu tatu zinaanza kujitabiria kabisa ubingwa hahaha ..sasa ivi zinajipa uwakika wa nafasi ya tatu utasema zimekatia hati miliki iyo nafasi
 
Ndugu zangu wa Manchester United mmeshindaje??? Mnajisikiaje na hali zenu.
 
habari njema.......common Inter milan

Alexis Sanchez has created 10 chances in the match vs Torino.
Only 3 players created more chances in a single Serie A match than the Chilean since 2004/05 (since Opta collected this kind of data)

11 Diamanti (May 2013)
11 Pizarro (Nov 2011)
11 Cassano (Oct 2008)
 
Huyu mtu tulitapeliana sisi na nyinyi alafu wote tukawatupia huko seria A kama tuliambizana vile,

Aiseeeh sisi wabaya
 
Back
Top Bottom