Mechi ngumu hii Southampton huwa wanatusurpprise mara kwa mara japo tunapata ushindi kwa mbindeRoho inanidunda mapema dah Let's Go Reds
Leo mnakaa nyie. Bado goli la IngsWeee, dunia nzima leo macho kwa utd, hata uefa wameifutia adhabu city cz wana uhakika utd ishapenya kwny top 4![]()