Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna wakati takwimu zinadanganya sana mkuu

Tumeona juzi hapa kuna mtu kaleta takwimu, Jones wa Liverpool ni mzuri kuliko Pogba (eti kisa ana goli 1 na Pogba hakuwa na goli)

Takwimu zinaweza kukufanya umkubali sana Mustafi, juzi nimeona kwenye Uzi wa Arsenal Mustafi ana very impressive stats, tena ulaya, lakini wote tunaujua uwezo wa Mustafi

Sizipuuzi stats moja kwa moja, lakini tunapaswa kuzisoma na kuzitumia very cautiously
hizo za mustafi & co zitakuwa ni computer generated statistical analysis mkuu.
 
teh teh
wewe bwana Gpili wapinzani wana hasira dhidi yako, hili vurugu ulilowafanyia ndani ya wiki hii wanatamani walipize lakini hawatofanikiwa kwa uwezo wa maulana
Hao takataka nawatabiria game zao alafu zawa kweli ..
 
Mwenyewe roho inadunda sana. Lakini tutashinda leo, ni lazima tushinde
sio lazima mkuu. kila timu ina probability ya 0.5 kushinda,kufungwa au kudroo.
na mida kama hii mababu wanaweza kutufungisha alafu mwishoni bado tukarudi number 3.

Mambo mengi ya hovyo yanaendelea duniani, corona imegoma kuondoka, Kim anatishia kulipua duania, HUAWEI wazungu wanataka kuifungia, issue ya Hussein Mwinyi imekuwa utata mtupu, Lissu nae analazimisha kurudi, yaani mambo ni mengi.

Man U ikifungwa itakiwa ni kwa ajiri ya ku cool the atmosphere.
 
Tension ya hii mechi kama fainali ya UEFA aisee..sikujua kama muda ukikaribia roho itakuwa juu kiasi hiki

Anyway..GGMU
mi sikua na hofu kabisa na hii mechi hasa kwa kuzingatia matokeo mazuri ya OT hivi karibuni na msimu huu kiujumla ,lakini nimeangalia mfumo wanaotumia wapinzani 4-4-2 nimejikuta napata hofu maana ni mfumo mgumu sana kupitika kama watakaba kiroho mbaya,rejea mechi ya UCL kule France tulimtoa PSG kwa mfumo huu waliambulia goli moja tu pale kwao.Ila naimani na timu yangu itapata matokeo leo "GGMU"
 
1594664907993.jpg
 
Bavaria,

Una mtizamo sawa na mimi. Vipaji vya kiingereza huwa sina imani navyo kabisa, hawa mimi ktk recruitment model yetu ninge-wawekea red flag unless wawe highly recommended na technical team ndo nawasajili. Nje ya hapo ningekuwa nawapandisha kupitia academy system kama Mason Greenwood na Marcus Rashford.

Tunapaswa tutafute vipaji nje ya hawa waingereza kama tulivyofanya kwa Bruno. Binafsi naona waingereza wanakuzwa mno kuliko thamani yao na uwezo wao halisi pia. Mfano halisi ni huyu huyu Jack Grealish ana thamani kubwa kuliko hata Bruno Fernandes,

Comparisons;
JinaGrealishBruno
Umri2425
NafasiKiungo MshambuliajiKiungo Mshambuliaji
Msimu huuMechi 33 Magoli 7 Assists 6Mechi 10 Magoli 7 Assists 6
Mchezaji bora wa mwezi (Feb, June)
Tuzo0Mchezaji bora ligi kuu ya Ureno(2018,2019)
Mchezaji bora wa Ureno, 2019
Timu ya taifaHajawahi kuchezaMechi 19 Goli 2

Sasa jiulize inakuwaje mchezaji mwenye uwezo mdogo kama Grealish kumlinganisha na Bruno, thamani yake iwe Pound 80M na Bruno Pound 67M? Nimeona watu wanasema ni backup ya Bruno, C'mon buddies! Kwa maamuzi haya sioni busara ya matumizi ya pesa. Huwezi kununua mchezaji wa backup kwa pesa nyingi kuliko mchezaji wa kikosi cha kwanza. Hii Pound 80M ni kheri tuwape scouts wetu assignment watuletee kipaji kinachoendana na hiyo thamani.

Kama Bruno tumempata kwa Pound 67M, vipi kuhusu Pound 80M (Aston Villa wanayotaka tuwape)? Hii assignment wanapaswa kupewa hao hao scouts walio-file report Bruno watuletee mtu mwenye thamani halisi ya P80M. Hata Jadon Sancho Burussia wame-inflate thamani yake halisi. Hata James Maddison same WhatsApp group, they are all inflated.
Best options
Donny von De Beek
Dominick Szoboszlai
 
Back
Top Bottom