Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

IMG_20200713_123001_079.jpg
 
Interlacustrine Region,
Bado Man U ni mbovu tu na ni swala la muda tu, hivi utaweza kuifananisha na Man U ya akina Olesendeka iliyomgaga Buyern 2-1 miaka ya 1999? itaifikia hata theluthi tu kwa ubora?


You serious? Haujengi timu kwa kulinganisha na zama za nyuma sana, bali timu hujengwa kulingana na malengo yenu ya sasa, uwezo wa kifedha mlionao pamoja na aina ya ushindani mlionao kwa sasa mf. hauwezi kutumia mabomu ya nyuklia wakati unapambana na adui anayetumia mishale hapa unakuwa unapoteza rasilimali fedha, zamani tulitumia zana nzito nzito kwa ssb wapinzani wetu pia walitumia zana nzito, so it was a prudent decision by then.

Pia kuna variables nyingi sana zinazofanya timu kubwa kama Manchester United kusua sua japokuwa we have all the weapons at our arsenal, hatuna tatizo la kifedha wala nini. Bali tatizo letu kubwa ni football executive wetu alilalamikiwa sana na almost makocha wote waliondoka haleti wachezaji kwa wakati kwa mf. Mourinho alimuhitaji Harry Maguire lakini Ed alimleta miezi 6 baadae baada ya yeye kuondoka. Hata Bruno alihitajika kabla ya msimu kuanza ila akamleta kati kati msimu baada ya maandamano ya mashabiki.
Yani huyu kiazi wa arsenane ndio achambue team yetu pambana kuingia Europa Kwanza
 
Phil Jones recently underwent minor knee surgery to clear out a persistent issue. The surgery was a success #mulive [@lauriewhitwell]
 
There has been interest from Serie A for Phil Jones. There are only a limited amount of clubs who are capable of affording his wages #mulive [@lauriewhitwell]
 
Pogba: "Sometimes before, we were maybe too defensive or too offensive and we didn’t have this balance or this control; now you can see we have that balance and there is more structure and we’ve been working hard on that." #mulive [mu]
 
Pogba: "We have to think about us, to be honest. If we win all our games I don’t think we have something to worry about. You have to win. We don’t think about other teams or other results, we have to focus on ourselves." #mulive [mu]
 
Pogba: "Every game is a final and we have to get the result that we need, that’s the mindset. It’s never enough for us, we have to carry on and keep fighting and keep pushing yourself to get better and better." #mulive [mu]
 
Pogba: "#mufc is about trophies, we know that. And there are trophies we know we can get and we can win. We don’t want to let this opportunity go away. We’re going to do our best to go and get those two trophies by giving everything." #mulive [mu]
 
nanukuu kauli ya mchambuzi wa soka, jina limehifadhiwa.

"kwa sasa clabu ya manchester united sio timu kubwa bali ni timu kongwe".

hebu tujumuike kwenye huu uzi wadau.
 
Aje kama Backup.

Nakubaliana na wewe.

Japo tunaweza kuangalia wachezaji wengine kwenye nchi nyingine kama tulivyompata Bruno.

Waingereza hakuna kitu.
Back up ya Pogba na Bruno ni tatu tu.

1 James Madisson
2 Donny von de Beek
3 Dominick Szoboszlai

Kwanza ni vijana wachanga na ni versatile players huyu Grealish sometimes anajikaba mwenyewe tu.

Japokuwa msimu huu katengeneza chances za kufunga 80 lakini his tactical quality ina walakini kidogo.

Hao niliowataja ni perfect upgrade ya kina Lingard, Pereira na Juan Mata ambaye umri umeenda sana.

Japo possible signing anaweza kuwa huyo Grealish kwa sababu ya kuwa cheap kuliko Madisson na media hype zinavyompandisha.
 
Back up ya Pogba na Bruno ni tatu tu.

1 James Madisson
2 Donny von de Beek
3 Dominick Szoboszlai

Kwanza ni vijana wachanga na ni versatile players huyu Grealish sometimes anajikaba mwenyewe tu.

Japokuwa msimu huu katengeneza chances za kufunga 80 lakini his tactical quality ina walakini kidogo.

Hao niliowataja ni perfect upgrade ya kina Lingard, Pereira na Juan Mata ambaye umri umeenda sana.

Japo possible signing anaweza kuwa huyo Grealish kwa sababu ya kuwa cheap kuliko Madisson na media hype zinavyompandisha.
Mkuu Grealish yuko vzr tusimchukulie poa kwasabu anacheza na Sammata mtanzania, mana cc WaTz ndvyo tulivyo huwa tunachukulia poa sana, huyo Grealish ni fundi ila hapati muda wa kurelax kutokana na tm yenyewe, akija utd hatokuwa anaanza lkn kuna mda atapata namba tu na ndipo utamuona vzr, man u kwa ss inaenda kubadili culture yake kutoka soka la mpira mbele kuja soka la kumiliki, hvyo tunahitaji watu wanaokaa na mpira km Grealish, kuhusu uyo Maddison ni kwmb huyo ni mchezaji wa tm ndogo ukimtoa hapo umlete utd hawezi ng'aa pale amini nakuambia Maddison ni overrated player but Grealish yuko vzr sn.
 
Nimecheka sn mkuu ila kongole kwa kukubali ukweli, huo ndiyo ushabiki wa kweli

Mpira siyo karata kwamba utacheza umeficha jike au bwana, ya kuonekana yanaonekana tu.

Toka Bruno aje, mmekuwa na stability kubwa sana ambayo haikuwepo kabla.

Hapa tunajaribu kuangalia jinsi Pogba atakavyomwambukiza kile kiburi chake, aanze kulilia mshahara mkubwa au aombe kuhamia kwao Spain, maana Portuguese na Brazilians wanapenda sana Spain.
 
Back
Top Bottom