Asante mie nyumbu aya sasa Bournemouth 2 Leicester 1Sasa ww unaumia Leicester kupata goli ulitaka wasipate yaani nyumbu ni Nyumbu tu takataka nyie mnao tegemea matokeo ya timu nyingine
Asante mie nyumbu aya sasa Bournemouth 2 Leicester 1Sasa ww unaumia Leicester kupata goli ulitaka wasipate yaani nyumbu ni Nyumbu tu takataka nyie mnao tegemea matokeo ya timu nyingine
Kumbe hapo ndipo ukomo wako kifikra ulipoishia? kweli ujuaji mwingi mbele gizaKwa akili zako huchelewi kusema baada ya Messi na Ronaldo kustaafu basi na tuzo za Ballon d'or zifutwe maana hakuna wachezaji waliocheza kufikia level zao..
I rest my case..
Sawa napambana na hali yangu Bournemouth 3 Leicester 1Ndio ww ni Nyumbu FC. Sasa ww matokeo ya Leicester yanakuhusu nn? Pambana na hali yako nyumbu ww
Nazidi kupambana na hali yangu Bournemouth 4 Leicester 1 ahhh kima waaNdio ww ni Nyumbu FC. Sasa ww matokeo ya Leicester yanakuhusu nn? Pambana na hali yako nyumbu ww
Ahh Bournemouth 4 Leicester 1 hadi uzae kwa huo uchungu uliokushikaUnakaa unategemea wanaume wakuchapie nyumbu ni Nyumbu tu
Grealish atamuweka nani benchi?Sancho na Grealish wakija itakua boost kubwa sana