SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,442
Boss unaumiza wanaongombania kombe la top 4Kuwa na heshima Liverpool fc ndio bingwa wa Dunia ,Ulaya ,na Ndio bingwa wa ligi ambayo timu yako ipo nafasi ya 5.
Boss unaumiza wanaongombania kombe la top 4Kuwa na heshima Liverpool fc ndio bingwa wa Dunia ,Ulaya ,na Ndio bingwa wa ligi ambayo timu yako ipo nafasi ya 5.
Yani maushindi yote yale bado wa 5 palepale.. life is not fair ... Bruno kawakutia hapohapo...Hahahahahahahahah Ukishinda upandi wala hushuki kiwanja namba 5 kipo palepale
Idiots wanaoongoza ligi unayopambania top 4. Sasa wewe tukuite nani? Grand idiota!Nashangaa unatoa wapi nguvu za kubishana na idiots.


Legend wenu RYAN GIGGS yupo New Sport anasema No Penalty wewe uko Buza kwenye kibanda umiza unakaza shingo eti ni Penalty.
Akitokea mtu kwenye sayari ya Mars akaonyeshwa hizi takwimu moja kwa moja atajua Bruno huwa anacheza namba 9 ile ya Inzaghi au van nistelroy.For the record View attachment 1502671
Akitokea mtu kwenye sayari ya Mars akaonyeshwa hizi takwimu moja kwa moja atajua Bruno huwa anacheza namba 9 ile ya Inzaghi au van nistelroy.
Bring with evidence here.There's. If not Arsenal then Liverpool.








Mmeshinda 99.Bring evidence here.
Kwani hujui man utd ndio team kubwa na yenye mashabiki wengi duniani kitu kidogo kwenu huku kikubwa sababu team inapendwa Sana•••••MANCHESTER UNITED Inavyojadiliwa kwa sasa unaweza kusema
imebeba
EPL
SERIA A
LA LIGA
UEFA
COPA AMERICA
kumbe tunaomba Leicester na chelsea wapoteze game zote zilizobaki angarau tupate kanafasi ka kushiriki UEFA
ila yote kwa yote Manchester united ni kubwa kuliko FOOTBALL
ndio maaana hata chelsea wamesahau kua kipa wao karuhusu magoli mangapi hadi sasa ila wanajua asisst na magoli ya BRUNO na GREENWOOD
MANCHESTER UTD ni kubwa jamani

Kaka sikia nikwambie km ulikuwa hujui hapo England hakuna tm iliyomfunga man U mara nyingi, yn kwa tafsiri nyepesi ni kwamba Man ndiyo mume wao hapo England.Mmeshinda 99.
Tumeshinda 84.
Nahisi Liva atakuwa nayo bora zaidi kuliko sisi.
Nmekuwa nkiwaambia watu hii maneno, man U ni zaidi ya tm ya mpira.•••••MANCHESTER UNITED Inavyojadiliwa kwa sasa unaweza kusema
imebeba
EPL
SERIA A
LA LIGA
UEFA
COPA AMERICA
kumbe tunaomba Leicester na chelsea wapoteze game zote zilizobaki angarau tupate kanafasi ka kushiriki UEFA
ila yote kwa yote Manchester united ni kubwa kuliko FOOTBALL
ndio maaana hata chelsea wamesahau kua kipa wao karuhusu magoli mangapi hadi sasa ila wanajua asisst na magoli ya BRUNO na GREENWOOD
MANCHESTER UTD ni kubwa jamani
Here to help.Mmeshinda 99.
Tumeshinda 84.
Nahisi Liva atakuwa nayo bora zaidi kuliko sisi.
Man U imekuwa kama Westham kwenye soko la usajiliSANCHO, MAN UTD IMEISHA HIYOO
MANCHESTER United imeandaa ofa ya Pauni 50 milioni ili kuhakikisha wanaipata saini ya winga wa Borussia Dortmund, Jadon Sancho, ambaye ana thamani ya Pauni 100 milioni kwenye mkataba wake wa sasa unaotarajiwa kufikia tamati mwaka 2022.
Suala hilo limeifanya Dortmund kuanza kutafuta mbadala wa mchezaji huyo kwa kuwa wanaamini United inaweza kufanikiwa kutoa kiasi cha fedha wanachohitaji. Inaelezwa kuwa Dortmund huenda ikawa tayari kupokea Pauni 50 milioni ikihofia kumpoteza bure wakati msimu ujao utakapofikia tamati.
United imekuwa ikiifuatilia saini ya mchezaji huyo kwa muda mrefu ambapo wamekuwa wakipambana na Real Madrid wanaotajwa kuwa kwenye mpango wa kuhakikisha wanaipata saini ya fundi huyo. Sancho (20), amekwishaweka wazi kuwa anatamani kujiunga na United dirisha lijalo ikiwa makubaliano kati ya pande hizo yatafikiwa.
Hii record fans wengi huwa hawaijui wanadhani man u ni ya mchezo mchezo ningekuwa jukwaa la wahuni ningetumia kauli nyepesi kueleweka but itoshe tu kusema kwamba Man U kafunga mara nyingi tm zote England, inauma ila huo ndiyo ukweli na anayebisha apite mbele na tm yakeHere to help.
Man Utd vs Liverpool, head to head record.
Chelsea vs Man Utd, head to head record. View attachment 1503276View attachment 1503278


