SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,355
Tangu lini chai ya rangi ikawa nyeupe?Ukweli siku zote unauma.....Bila Penalties nyie ni weupe kama chai ya rangi.
Hujui unachoongea wewe
Tangu lini chai ya rangi ikawa nyeupe?Ukweli siku zote unauma.....Bila Penalties nyie ni weupe kama chai ya rangi.
Hahahahahahahahah......Check this kind of penalty mliopewa tonight then uje uongee tena.Hii inaonyesha forward ya Man U ni sumbufu sana kwa backs wa timu pinzani.
Penati ni sehemu ya mchezo so hakuna cha ajabu apoUkweli siku zote unauma.....Bila Penalties nyie ni weupe kama chai ya rangi.
Check na tuliyonyimwa ndio usemeHahahahahahahahah......Check this kind of penalty mliopewa tonight then uje uongee tena.
Sawa mariam birianiTakataka nyie kazi kubebwa bebwa tu
Sishangai penalty mliopewa tonight Referee JOHN MOSS anajulikana ni shabiki galagala wa Manchester United is.Penati ni sehemu ya mchezo so hakuna cha ajabu apo
tulie we ashuraLegend wenu RYAN GIGGS yupo New Sport anasema No Penalty wewe uko Buza kwenye kibanda umiza unakaza shingo eti ni Penalty.
Nashangaa unatoa wapi nguvu za kubishana na idiots.Naona Liverfools wanabweka bweka humu
Hatimae umepotea hahahaLegend wenu RYAN GIGGS yupo New Sport anasema No Penalty wewe uko Buza kwenye kibanda umiza unakaza shingo eti ni Penalty.