Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi hiki kikundi cha wahuni mpaka sasa mkonafasi yangapi kwenye msimamo wa EPL coz mnatusumbua sana kwa kelelezenu.
 
Sishangai penalty mliopewa tonight Referee JOHN MOSS anajulikana ni shabiki galagala wa Manchester United is.
Tumewazoea wapinzani wa man U yn tm ikifanya vby mnaanza kuipa majina ya ajabu mara mwanitesa utd mara genge la wahuni n.k, lkn ikifanya vzr execuses kibao kwamba tm inabebwa, kwahyo huko nyuma wkt ligi inaanza hatukubebwa ili tuchukue ubingwa ndo tunakuja kubebwa leo tukiigombania nafasi ya 3 au 4? Nyie kubalini tu man ya ss ni moto wa gesi, we tm kati ina Fernandes, Pogba, Matic, af benchi wapo wengine wakali tu ambao kwenye tm zenu wanaanza km Fred, Mctomminay, Pereira n.k af unategemea nini hapo ndugu?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Naona hujaacha biashara ya ukahaba Mererani, umeanza hiyo biashara na humu mitandaoni... Utapata unachotaka
Dah Mwajuma unafeli sana ..kuwa mpole[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Muko nafasi ya ngap sasa Mwajei[emoji16][emoji16]

Ile Series nimeipata mzee..
 
Tulia Amberruti, michezo ya kinyume nyume sio mizuri, utaanza kukaa ki upande upande shauri zako
Dah Mwajuma unafeli sana ..kuwa mpole[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Muko nafasi ya ngap sasa Mwajei[emoji16][emoji16]

Ile Series nimeipata mzee..
 
For the record
bruno_fernandes.jpeg
 
WANAUME WAKO TOP FOUR NYIE WAKINA DADA ENDELEENI KUPAMBANIA MSIKOSE EUROPA ..SAWAAA!!

SISI TUNAITA TOP THREE[emoji23][emoji23][emoji23]

#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Screenshot_20200710-113527_Google.jpg
 
Back
Top Bottom