Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

IMG_2891.jpg
 
Mkuu unamzungumziaje Mason Greenwood? pia unamzungumziahe Curtis Jones?
Man
Greenwood 16 Goals this season akiwa na miaka 18 Fantastic...Talented player.,The best young player now...Absolute talented.

My Boy Curtis Jones ni talented but is not ready ,Anahitaji kaendelee kujifunza taratibu zaidi akiwa palepale Liverpool.
 
Mkuu upo mature katika hili.....tusubiri mwakani Curtis anaweza kukiwasha pia endapo liver wasiposajili wachezaji wakutosha
 
Manchester United are the first team in Premier League history to win four straight games with a margin of three goals or more #mulive

Baada ya mechi ya Jumatatu itakuwa "Manchester United are the first team in Premier League history to win five straight games with a margin of three goals or more
 
Back
Top Bottom