Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sancho ana kipaji nyie watu..hayo mambo ya unyangema/ubitozi anaweza kuwa controlled tu
(mf:huoni pogba akipost sana siku hizi au kubadili rangi ya nywele kila wiki) ni kwa sababu kuna watui special wa kum-manage mchezaji.

Pili kuhusu gharama sio tatizo hata kama tukilipa 100mill kwa sababu dogo ana miaka 20 sasa..tuna uwezo wa kumtumia kwa zaidi ya miaka 8 mpk 10 ijayo km asipopata changamoto za majeraha of which its justifiable!!
Next season front 3
Rash-greenwood-sancho

Alaf nje yupo martial na strike mwingine wanapiga jaramba
 
Umeona matokeo. Villa tukimla inabaki 1 kwa Leicester na 2 kwa Chelsea. Yaani hapo lazima mmoja atupishe tu wakikomaa Leicester mwenyewe tunampiga kwake ili atupishe.
Hatukutani tena kwenye EPL wacha kuota. Mechi zetu nne za mwisho ni dhidi ya Shifield United, Norwich, Liverpool na Wolves
Mechi yenu ya mwisho na LFC mkimshinda mnamtoa yeye kwenye top 4, kazeni buti, pambaneni na hali zenu, sisi hao wote waliobaki tutawafunga na hivyo hatutafuatilia matokeo yenu
 
Manchester United amebakiza hizi games:

Aston Villa,
Cristal Palace,
Leicester,
Southampton na West Ham.
 
Cyo kwa man u hii mkuu, sema shida ya mashak sisi hasa wa kibongo kuongea ukweli juu ya timu pinzan ni kama dhambi ya kuua
Mechi 3 za mwisho lazima moja mtafungwa na nyingine draw, point 4 lazima zidondoke, weka kumbukumbu hii message
 
1. Tuna Europa ligi
2. Kuna CAS
3.Kuna Top four finish

Tuna njia 3 za kushiriki UCL next season

Digidigi mmoja bumbuli huko anaota tukose, ndoto
Mimi sijasema hamtashiriki, nilikuwa najibu hoja ya mheshimiwa anayedai Man U mtatukamata nikamjibu labda LFC sio Chelsea
 
Mimi sijasema hamtashiriki, nilikuwa najibu hoja ya mheshimiwa anayedai Man U mtatukamata nikamjibu labda LFC sio Chelsea
Tofaut yako na Sisi ni Point 2 tu, just 2.. na huna consistency , muda wowote una drop point, tofaut na Man UTD, tuko na consistency nzuri mno
 
Back
Top Bottom