Mchezaji gani Liver waweza linganisha na Paul licha ya kutokuwa na goli?Kacheza mechi 11 kashindwa kufunga hata goli moja,unataka acheze mechi ngapi ndio afunge.
Mchezaji gani Liver waweza linganisha na Paul licha ya kutokuwa na goli?Kacheza mechi 11 kashindwa kufunga hata goli moja,unataka acheze mechi ngapi ndio afunge.
Tominay hawezi fikia kiwango cha Matic, yule dogo ni mvurugaji wa opponent ila hana msaada kwe ye buildup yoyote. Tunahitaji DM anayeweza toa pass za uhakika tuwapo na mpiraAkifa leo tutasema alikuwa na miaka 31 Mkuu..AW, soko la DMs ni gumu kidogo, tunam-nurture Mactominay awe mrithi wake asiboharibikiwa.....With due respect, Matic deserves the contract aki-flop tunamuuza sio kuondoka bure
simple like that Mkuu
Kila kitu kinafundishwa..atajifunza!Tominay hawezi fikia kiwango cha Matic, yule dogo ni mvurugaji wa opponent ila hana msaada kwe ye buildup yoyote. Tunahitaji DM anayeweza toa pass za uhakika tuwapo na mpira
Pogba SIO STRIKER ni midfield tena kwa sasa hachezi kama CAM ila km CDM au CM..Huwezi kumjudge kwa magoli..tumia akili.Kacheza mechi 11 kashindwa kufunga hata goli moja,unataka acheze mechi ngapi ndio afunge.
Sancho is better but his price tag is highly overrated. I would not prefer to sign him at that much. Afu ni nyangema huyo dogo, atazinguaJadon ni ghali ukizingatia korona View attachment 1499933
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Tena ni bishoo kweli kweli, japo ana kipaji ila sina imani nae, akija atakua flop tu, ana swagg kama za yule dogo Depay, kama tutakosa winger mzuri ni bora tumchukue Willium wa Chelsea kwa bure tumpe 2years wakat tunatafuta long term replacamentSancho is better but his price tag is highly overrated. I would not prefer to sign him at that much. Afu ni nyangema huyo dogo, atazingua
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Dogo hatufai. Tusicheze mziki wa media za Uingereza. Willian akiwa available, atatusaidia na tutapata chance ya kum-groom to maturity kijana G'wood.Tena ni bishoo kweli kweli, japo ana kipaji ila sina imani nae, akija atakua flop tu, ana swagg kama za yule dogo Depay, kama tutakosa winger mzuri ni bora tumchukue Willium wa Chelsea kwa bure tumpe 2years wakat tunatafuta long term replacament
All in all nina imani na sajiri za OGS, jamaa uwa hakurupiki kufanya maamuzi
Kimsingi huyo dogo naona ni potential ukizingatia kwasasa dunia ina winga wachache sana wanaocheza pure #7.Dogo hatufai. Tusicheze mziki wa media za Uingereza. Willian akiwa available, atatusaidia na tutapata chance ya kum-groom to maturity kijana G'wood.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Anyway so mbaya, wenzetu wanakuwa na data na maamuzi yao yapo guided na vivid facts kuliko sisi.Kimsingi huyo dogo naona ni potential ukizingatia kwasasa dunia ina winga wachache sana wanaocheza pure #7.
Depay kilichomponza ni life la uingereza na ubishoo mwingi nje ya uwanja.
Sioni mbadala wa sasa kwa huyo dogo aise.
Naomba Chelsea na Leicester wapoteze au wa droo leoUsiku wa leo unaweza kuwa mzuri kwenye top four run yetu..
✓Crystal Palace vs Chelsea
✓Arsenal vs Leicester City
![]()
Munaanza kumuwangia na Willian tena?Tena ni bishoo kweli kweli, japo ana kipaji ila sina imani nae, akija atakua flop tu, ana swagg kama za yule dogo Depay, kama tutakosa winger mzuri ni bora tumchukue Willium wa Chelsea kwa bure tumpe 2years wakat tunatafuta long term replacament
All in all nina imani na sajiri za OGS, jamaa uwa hakurupiki kufanya maamuzi
Timu yako ipo uwanjani,huo muda wa kuzurura humu hovyo unautoa wapi??..au una angalia mechi Livescore?Munaanza kumuwangia na Willian tena?
Unaomba kitu ambacho huwezi jibiwa mkuu..Naomba Chelsea na Leicester wapoteze au wa droo leo
Iyo game ni kama ishakwisha ..sisi tunakamilisha ratiba tu..Timu yako ipo uwanjani,huo muda wa kuzurura humu hovyo unautoa wapi??..au una angalia mechi Livescore?

