Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ile Party ya Ubingwa (Liverpool) si ndo hii sasa. Ni pale Mercury Park Magomeni siku ya Jmosi tarehe 11/7/2020, ataliwa ng'ombe mzima buuureee. Tutakunywa supu, tutachoma nyama na kula pilau kwa ushiriki wa Jezi yako tu. Kama uko Dar ndiyo fursa sasa. Thibitisha Ushiriki wako kwa kunitumia jina lako kupitia 0716109169 ama 0755057229.
IMG_20200708_110026_048.jpg
 
Ile Party ya Ubingwa (Liverpool) si ndo hii sasa. Ni pale Mercury Park Magomeni siku ya Jmosi tarehe 11/7/2020, ataliwa ng'ombe mzima buuureee. Tutakunywa supu, tutachoma nyama na kula pilau kwa ushiriki wa Jezi yako tu. Kama uko Dar ndiyo fursa sasa. Thibitisha Ushiriki wako kwa kunitumia jina lako kupitia 0716109169 ama 0755057229.View attachment 1500850
Mambo ya Liverpool hayatuhusu!!!
 
Hatukutani tena kwenye EPL wacha kuota. Mechi zetu nne za mwisho ni dhidi ya Shifield United, Norwich, Liverpool na Wolves
Mechi yenu ya mwisho na LFC mkimshinda mnamtoa yeye kwenye top 4, kazeni buti, pambaneni na hali zenu, sisi hao wote waliobaki tutawafunga na hivyo hatutafuatilia matokeo yenu
Hujanielewa Chelsea hapo nimemtaja kwa difference ya point 2. Nikweli hatukutani najua ndio faida kwako kwakuwa unajua nitakulamba kama nilivyochukua 6 kwako.
Bado nitakutoa tena FA. Najua hukupenda lakini ndio hivyo.
 
1. Tuna Europa ligi
2. Kuna CAS
3.Kuna Top four finish

Tuna njia 3 za kushiriki UCL next season

Digidigi mmoja bumbuli huko anaota tukose, ndoto
Eti tuna Europa..kama la kwenu vile ..

Kwa iyo munategemea mbeleko?

Amjui kukaza kama Chelsea, sisi atujawahi kutegemea matokeo ya timu yeyote ..sisi kazi kazi
 
Leo tuna uwezekano mkubwa kushinda hii mechi..ningeoenda tudhinde mechi zote 5 zilizobaki ili tuwe guranteed kwny champions league football..

Mashabiki wa chelsea wataumia ila ukweli ni kwamba kwny fixture mbili (vs wolves na vs liverpool) wanauwezekano mkubwa wa kudrop points..jiandaeni kisaikologia..ila hata mkishinda pia fresh tu
 
Si ndio sasa wakati ninyi munashinda game zote ..

Tuseme nafasi ya tatu ni yenu ..maana niny mnataka kumaliza juu ya Chelsea

Una misimu mingap ujamliza juu ya Chelsea? Inaonesha una kiu sana.

Tuseme tayari mumemaliza aya hongereni.
 
Leo tuna uwezekano mkubwa kushinda hii mechi..ningeoenda tudhinde mechi zote 5 zilizobaki ili tuwe guranteed kwny champions league football..

Mashabiki wa chelsea wataumia ila ukweli ni kwamba kwny fixture mbili (vs wolves na vs liverpool) wanauwezekano mkubwa wa kudrop points..jiandaeni kisaikologia..ila hata mkishinda pia fresh tu
Nimeota Sammata amewafunga Manchester United leo
 
Pogba ni bishoo pia, becks alikuwa bishoo sana, CR7 ndio usiseme

Namkubali Sancho kwa kuwa ana kipaji kikubwa, assists zake zitaipeleka Man Utd next level, his work rate is commendable

I like him hata kibiashara
Sancho is better but his price tag is highly overrated. I would not prefer to sign him at that much. Afu ni nyangema huyo dogo, atazingua

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom