Mbona golikipa mzuri tunaye (Hendersson)Natamani sana tumnunue Goalkeeper wa Bunley yule bwana mdogo Nick Pope
TumewashikaBournemouth shika matako hao wadada
Kipa wetu wa kula SHEFFIELD UNITED umemsahau?Natamani sana tumnunue Goalkeeper wa Bunley yule bwana mdogo Nick Pope
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]dadeki zakoDawa yake ni kumbakizia kesi ya kutakatisha fedha haaaa [emoji1550]
dah. ningekuita kibinda nkoi ila kwa vile Man U mwenzangu ngoja nipotezee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kumfananisha Greenwood na mambo ya kijinga
Na hakika tumeshaanza kuona matunda yake.nimejikuta naikumbuka nukuu yako uliokuwa ukipenda kuitumia mwanzoni mwa mwezi February....
mashabiki wa manchester united tuendelee kula mtori, muda si mrefu nyama tutazikuta chini.
Poa poa mkuu tuendelee kusherehekea ushindi wetu nawewe ukirudi home upige magoli mengi mazuri kama ya Greenwood [emoji1][emoji1][emoji1]dah. ningekuita kibinda nkoi ila kwa vile Man U mwenzangu ngoja nipotezee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]..aache utaniAcha kumfananisha Greenwood na mambo ya kijinga
kule twitter mjadala wa martinelli vs mason ulirudi tena kwa mudaAisee nalipenda hili chama kuliko demu wangu
Mason Greenwood..ooh boy,what a fantastic player
Bado Watford kufanya nini? Anakufa darajani mnarudi nafasi yenu pendwaAsenane kamaliza kazi tuliyomtuma
Bado WatfordView attachment 1497733
Wote wana vipaji..ila huyu Greenwood wetu aisee ana kitu miguuni na kichwani cha ziada..Miguu yote anatupia nyavuni..kule twitter mjadala wa martinelli vs mason ulirudi tena kwa muda
Yani nyie jamaa kwa mihemko bana [emoji23][emoji23] keshakuwa best in EPL sasa ... ebu cool down
Umeona namtaja au tunamtaja japo ndo captain aliyeongoza timu kubeba EPL? ... mtu akicheza vimechi vitatu tu hypes kama zote. Saa hii naona mshaanza mlamba nyayo Greenwood mliyekuwa mnamsema ni mtoto nyoronyoro. Akienda vimechi vitatu mtasema the best wonderkid [emoji23][emoji23]Unataka tumtaje Hendo [emoji23] ndio best mid in EPL
Umeona namtaja au tunamtaja japo ndo captain aliyeongoza timu kubeba EPL? ... mtu akicheza vimechi vitatu tu hypes kama zote. Saa hii naona mshaanza mlamba nyayo Greenwood mliyekuwa mnamsema ni mtoto nyoronyoro. Akienda vimechi vitatu mtasema the best wonderkid [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa timu yenu, absolutely yesTunasema now, Greenwood is the Best Wonderkid.