Manchester United (Red Devils) | Special Thread

sidhani kama ameshafikia level ya kulinganishwa na david degea hata kama tutaamua kutumia kigezo cha kuangalia performance dhaifu ya david kwa miaka hii miwili (2019 and 2020).

namhurumia sana dean henderson pamoja na familia nzima ya kiengereza ilio nyuma yake (waingereza wanatamani kikosi chao kizima kijengwe na timu kubwa na si everton na wengineo), dean ana ndoto ya kuona siku moja anasimama kwenye milango ya old trafford kabla ya world cup ila sidhani kama itawezekana kwa sasa.

asikwambie mtu unahitaji kuwa na roho mbaya kama bolo yeong, roho ya kijinga kama arturito pindi unapochukua uamuzi wa kumfanyia mabadiliko ya kudumu goalkeeper wa kikosi cha kwanza.

kabla ya kumuangalia kwanza dean unapaswa ugeuze jicho lako kwa david, je ataelekea wapi kwa sasa pindi utakapomfanyia mabadiliko?
PSG, Real Madrid, Juventus, Newcastle?
david ana mkataba wa takribani miaka 3 na kwa mshahara anaolipwa haitokuwa rahisi kumweka benchi kwa miaka mitatu.

wafanyiwe match rotation?
hmmmm! ukitaka kujua madhara yake basi muulize manuel neur pale bayern munich, huyo mzee ameweka mkwala mzito baada ya bayern kumsajili goal keeper wa schalke 04.
============
halafu kuna balaa hili:
fred + scott + matic
corona imemuokoa paul pogba
Kiukweli binafsi naona kama united inamhitaji pogba kibiashara zaidi ya ukamilifu wake uwanjani. Kwa mifumo ya sasa ambapo kila mchezaji anashiriki kwenye kushambulia na kuzuia (hata kudaka) inakuwaje unamtaka pogba anayekimbia kama ana jog halafu unampangia majukumu maalum peke yake? Hii mbinu aliitumia mourinho na akina ozil pale Madrid, Schneider pale inter lakini siku hizi haimsaidii tena.
 
Ole atakuwa na wakati mgumu sasa wa kuamua nani waanze kwenye midfield.

Ana DM ambao wako fit sana watatu na CM ambao wako fit sana watatu japo mmoja wapo anaweza kutumika kama CAM kwenye hao CM.

Nilisema toka mwanzo huenda rungu litawaangukia Scot au Fred mmoja lazima atakuwa sacrificial lamb, haitawezekana hawa DM watatu wote wacheze pamoja katika mechi moja.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Pogba hour
Screenshot_2020-06-14_133826.jpg
 
sidhani kama ameshafikia level ya kulinganishwa na david degea hata kama tutaamua kutumia kigezo cha kuangalia performance dhaifu ya david kwa miaka hii miwili (2019 and 2020).

namhurumia sana dean henderson pamoja na familia nzima ya kiengereza ilio nyuma yake (waingereza wanatamani kikosi chao kizima kijengwe na timu kubwa na si everton na wengineo), dean ana ndoto ya kuona siku moja anasimama kwenye milango ya old trafford kabla ya world cup ila sidhani kama itawezekana kwa sasa.

asikwambie mtu unahitaji kuwa na roho mbaya kama bolo yeong, roho ya kijinga kama arturito pindi unapochukua uamuzi wa kumfanyia mabadiliko ya kudumu goalkeeper wa kikosi cha kwanza.

kabla ya kumuangalia kwanza dean unapaswa ugeuze jicho lako kwa david, je ataelekea wapi kwa sasa pindi utakapomfanyia mabadiliko?
PSG, Real Madrid, Juventus, Newcastle?
david ana mkataba wa takribani miaka 3 na kwa mshahara anaolipwa haitokuwa rahisi kumweka benchi kwa miaka mitatu.

wafanyiwe match rotation?
hmmmm! ukitaka kujua madhara yake basi muulize manuel neur pale bayern munich, huyo mzee ameweka mkwala mzito baada ya bayern kumsajili goal keeper wa schalke 04.
============
halafu kuna balaa hili:
fred + scott + matic
corona imemuokoa paul pogba
Hii essay.. unaweza kidhani manure mnaongoza ligi
 
I don’t understand the sentiment of “ How do Pogba and Fernandes “ fit together . They won’t be in a 2 sitting! With more fluid systems today than 20 years ago it should be simple. We’ve just watched De Bruyne and David Silva play together for 3 years in a MDF 3.
(Gary Neville via Twitter)
 
Kiukweli binafsi naona kama united inamhitaji pogba kibiashara zaidi ya ukamilifu wake uwanjani. Kwa mifumo ya sasa ambapo kila mchezaji anashiriki kwenye kushambulia na kuzuia (hata kudaka) inakuwaje unamtaka pogba anayekimbia kama ana jog halafu unampangia majukumu maalum peke yake? Hii mbinu aliitumia mourinho na akina ozil pale Madrid, Schneider pale inter lakini siku hizi haimsaidii tena.
Pogba licha ya kucheza entertaining footbal, ana pass za uhakika kuelekea langoni.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom