Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Ni vizuri kuona ma black wakipromote humanity aise.
Kijana ni suala la muda tu UTD ikutoe kwenye hiyo nafasi jiandae kisaikolojia mapema.Mourinho ataniwajibishia izi takataka.
Dah i wish pogba acheze huko mbele zaidi hata namba 10. Martial na rashford wawe wanapkezana.The Day Is Here..Natamani nione kitu kama hiki baadae(10:15 PM)
De Gea
AWB Lindelof Maguire Shaw
Fernandez Fred Pogba
James Martial Rashford
De GeaThe Day Is Here..Natamani nione kitu kama hiki baadae(10:15 PM)
De Gea
AWB Lindelof Maguire Shaw
Fernandez Fred Pogba
James Martial Rashford
Hiki kikosi nafikiri ni kizuri kwenye kushambulia ila tukishambuliwa tutakua weak, mtazamo wangu tuThe Day Is Here..Natamani nione kitu kama hiki baadae(10:15 PM)
De Gea
AWB Lindelof Maguire Shaw
Fernandez Fred Pogba
James Martial Rashford
Linawezekana pia hili..na tutakuwa solid sana hapo nyumaDah i wish pogba acheze huko mbele zaidi hata namba 10. Martial na rashford wawe wanapkezana.
Kati kati lazima scot awepo kuuongeza ugumu.
Kwann pogba asiende mbele bruno arudiLeo nafikiri tunaweza cheza 4-3-1-2 langoni ni De gea
AWB maguire lindelof shaw
Scot matic pogba
Bruno
Martial,rashford