Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kumbe
Screenshot_2020-06-10_170003.jpg
 
PTER , hizi tetesi za van der beek nina wasiwasi muda huu zimeshakuongezea uzito wa furaha ndani ya nafsi yako.
Ni kweli mkuu mimi navutiwa sana na uchezaji wa Donny Van der Beek hivyo nikisikia tetesi kuhusu yeye huwa nafurahi sana.

Kwa sasa wasi wasi wangu midfield siyo priority tena kwenye timu yetu naona mahitaji ya Solkjaer ni winga wa kulia ambacho ni kilio cha kila mwanamanchester United.

Hata kama hizi tetesi kuhusu Donny ni za kweli wasi wasi wangu ni atacheza nafasi ipi Pogba na Bruno akiwa mzima ?

Wachezaji wawili kwenye kiungo tuliohusishwa nao Donny na Saul Niguez kusajiliwa kwao kutategemea sana mustakabali wa Jesse Lingard, Juan Mata Paul Pogba na Andre's Pereira wakiondoka hao huenda tukawa na uhitaji wa kuongeza ubora kwenye midfield, japokuwa Ole amempa mkataba tayari Nagel Gomez ambaye moja kwa moja anaziba nafasi ya Lingard.

Corona pia imebadili sana hali ya mambo huenda tukawa na additions lakini nyingi zitakuwa ni surprise package tu.


DNA ya Iniesta ipo katika miguu ya Hanibal Mejbir
images-15.jpg
 
Back
Top Bottom