Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii ya Ansu fati nahisi ni uongo wa media au agent,

Haiwezekani united wakatae kulipa 100, kwa Sancho, anaecheza left na right wing, pia na AM.
Halafu wakatoe 100 hiyo kwa dogo wa 17 years, ambae hajacheza hata msimu mzima . na anapendelea kicheza left wing.
95% ya hizo tweets, habari kutoka vyanzo uchwara kama Mirror n The Sun na video za YouTube ni Rumors.
Tuziangalie kwa kujifurahisha tuu.
 
Kachomoa?
Screenshot_2020-06-12_232117.jpg
 
Bruno Fernández penati dhidi ya West Bromwich
 

Attachments

  • Bruno Fernandes’ penalty against West Brom today _mu_ - MUFC https___t.co_h6xSqrK ( 410 X 750 ).mp4
    508 KB
Back
Top Bottom