OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,305
Hahaha wakati unaandika yaonyesha ulikuwa na njaa sana ..sasa nem tulia tena afu soma ulichoandika..Imetufanya tuanze kufikiria usajili tu badala ya kumtoa chelsea pale top four.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawaza kumtoa Chelsea top four wakati apo ulipo hauna uhakika?
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app