tena vibaya mno amedeliver kile walichokua wanakihitaji kwa muda mrefu.......Jamaa ameshawa-win mashabiki pale OT
Hahaha ligi ikivunjwa leo mim Nina uhakika wa kukipiga uefa na kuingiza mpunga mrefu kuliko Wewe man united..Tulia wewe mporipori na uache kutapatapa
Pobga akirud ataharibu timu uzeni yule..Nawaza tu ni jinsi gani tuta-lineup Pogba atakavyorudi na kuwa na nia ya kubaki na sisi
Hahahahaha uyo hata afikie kiwango cha Auba, golden boot atasikia tu..hahahaha kwa hiyo atabeba golden boot?
Uliifunga Chelsea B wewe acha mbwe mbweMan UTD 4-0 Chelsea
Unauzungumziaje ule ushindi?
Wasn't it comfortable?
Dah zarau iz..Chelsea haikuwa level ya kusema ni timu kubwa tulivyokutana nao,walikuwa hawana tofauti sana na Norwich
Pobga ndo injini ya team mkiuza mutajuta..Achape lapa asituvuruge, yeye si staa bwana anataka mshahara mrefu yeye na wakala wake mshenzi yule, atuache tujikongoje na man u yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wewe hamnazo ..Chelsea unaichukulia kama team ndogo??Anyway... hata hivyo kwa tafsiri ya haraka haraka unaposema timu kubwa England, kichwani majina yafuatayo yanakuja kichwani Man United, Man City, Liverpool, Arsenal, Chelsea... muda mwingine hata Spurs..
Na hii haijalishi timu ipo kwenye form gani wakati huo... Maana siku za nyuma specifically (2015-2016) Leicester walikuwa kwenye form nzuri kuliko sisi timu kubwa.. lakini haikumfanya awe timu kubwa.
Bila shaka, you meant Chelsea hakuwa kwenye form right? although, still huu msimu bado sio mzuri kwake and she is still considered as katimu kakubwa
Man u ni Bolton ya zamani.Chelsea sio timu kubwa mkuu, chelsea ni Leicester city iliyochangamka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unaingilia maisha binafsi ya mtu ..unataka apost kuhusu man u ili iweje ..yani apost nini? akaunt yake inahusiana nin na man u ..au kuna hisa man u wameweka pale.. yeye ni mwajiriwa wa man u na maisha ake binafsi wee vipi..!!?Pogba auzwe tu, pesa yake ilete wachezaji wengine wazuri, yeye na wakala wake wasumbufu sana, akiendelea kubaki ataanza kudai mshahara mkubwa zaidi anayolipwa sasa £290000mil, atavuruga dressing room huyu kirusi, kina bruno nao watataka walipwe kama yeye (Bruno salary yake haifiki hata £100000) ila cheki anacho offer uwanjani
Hata ujio wa Bruno ni kuziba pengo la Pogba
Jana OT majeruhi kina Rashfod walikua uwanjani, sasa hapo ebu mcheki Pogba picha aliyoweka jana IG sijui yupo wap uko, ktk IG yake hapost chochote abt utd zaidi ya matangazo yake ya adidas, huyu wa kuuzwa tu, kule Seria A kuna corona virus, Laliga kumepoteza mvuto, kule France hata Mbape hapataki ligi ya timu moja, kazi kwake kirusi
View attachment 1382233
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa iyo nyie man u ndo timu kubwa kwa sasa..Hatuongelei majina makubwa, tunaongelea timu kubwa, yenye mpira mkubwa
Chelsea kwa sasa ni timu ya kawaida sana, City na Chelsea ni mbingu na ardhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa uyo Buruno ana nini cha Ku ofa kumzidi Pobga ..hiv kuna kiungo kna kama Paulo kweny dunia ya sasa iv?? Buruno ni kiungo wa kawaida Sema kaenda kweny timu ambayo ina viungo wabovu ivyo lazima ang'ae tu..Yaani amuweke bench mchezaji mwenye passion kama bruno kisa kirusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha unajua kabisa hichi kitu hakitatokea ..man u kuwa nMba mbili ..Kama City adhabu yake itaendelea mnaweza kuwa namba 2, ila kama rufaa itashinda watakuwa wao namba 2 na nyie 3.
Namba moja anajulikana, siyo swala la discussion.
Huu ni ubaguzi wa wasi kabisa..ndo maana jamaa anataka kusepa, hamumjali hata kwa kitu kna ichi?Wakuu hii kitu nimeikuta sehemu, eti ni kweli Pogba never been nominated for a player of the month award?View attachment 1382947
Sent using Jamii Forums mobile app
Alifika fainali na alimaliza nafasi ya tanoArsenal atachezaje Champions League?
Si msimu huu tulikuwa naye Europa na juzi kati alitolewa na Olympiacos hatua ya 32 bora?
Wee kichaa wa darajani dawa umesahau huku amaHahaha unajua kabisa hichi kitu hakitatokea ..man u kuwa nMba mbili ..
Hichi kitu alifanya Mou tu ..wengine wote watakaopita wataishia nafasi ya tano/sita..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumekugongagonga hovyohovyo hadi hatuna hamu na wewe tena
Atakuwa anaona aibu hata kusoma hapo. Ila itategemeana na utimamu + utashi alojaaliwa na Mungu wake pia. Mana mwingine anaweza asione shida iliyopo kwenye ubongo wakeSent using Jamii Forums mobile app