Nimeangalia goli la Scoty mara mbili mbili, hata haieleweki Scoty ametokea wapi kipa alivyoanzisha mashambulizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbinu bila wachezaji kujitoa na kuwa bora hakuna kitu mkuu..Mara ya mwisho spurs kushinda ilikuwa ni lini??
Tulia wewe mporipori na uache kutapatapaNyie takataka zingine mujipange..
Angalia tunaua mtu uko
This is Chelsea..
The KING OF LONDON
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeangalia goli la Scoty mara mbili mbili, hata haieleweki Scoty ametokea wapi kipa alivyoanzisha mashambulizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilifurahi sana kumuona babu fergi mwishoni mwa gem akitoka uwanjani akiwa na tabasamu LA kufa MTU vijana wamempa furaha mzee wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaza tu ni jinsi gani tuta-lineup Pogba atakavyorudi na kuwa na nia ya kubaki na sisi
Rashford akirudi hamna tatizo..Rashford anacheza kushoto,Martial Ole anamtumia kama mshambuliaji wa katikaiPogba Auzwe Tu... Walituaribia Timu Walee Jamaa Wachezajii Majina Makubwa Timu Halina Kitu---
Ila Mpwa Hivii Rashford Naye Akirudi Martial Tutamueka Wapi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nawaza tu ni jinsi gani tuta-lineup Pogba atakavyorudi na kuwa na nia ya kubaki na sisi
Rashford kwa Ole sio striker msimu mzima kacheza kama winga wa kushoto na martial kati.Pogba Auzwe Tu... Walituaribia Timu Walee Jamaa Wachezajii Majina Makubwa Timu Halina Kitu---
Ila Mpwa Hivii Rashford Naye Akirudi Martial Tutamueka Wapi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwaka jana mlifuliliza hivi halafu kilichofuata nadhani unakijua.
Pogba Auzwe Tu... Walituaribia Timu Walee Jamaa Wachezajii Majina Makubwa Timu Halina Kitu---
Ila Mpwa Hivii Rashford Naye Akirudi Martial Tutamueka Wapi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwaka jana mlifuliliza hivi halafu kilichofuata nadhani unakijua.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha kwa hiyo atabeba golden boot?hakuna striker yoyote epl mwenye conversion rate kubwa kushinda martial (msimu uliopita) na sitashangaa pia msimu huu akiongoza
Kwani golden boot wanapewa wenye conversion ratio kubwa ama magoli mengi?hahahaha kwa hiyo atabeba golden boot?
Nawaza tu ni jinsi gani tuta-lineup Pogba atakavyorudi na kuwa na nia ya kubaki na sisi