Simba walikuwa wanadhani wataharibu weekend yangu,shenzi zenu..United wamenirudishia form yangu ya good weekend
Kama mmHuku yanga kule man u siku tamu sana leo.
Hata Ole amekasirika sana..lilikuwa goli la wazi kabisa kama angepiga pasi kwa BF18
Imekuwa weekend nzuri kwetuHahahaaa
Kumbe na bongo tupo pamoja
Usicheze na watu majina yao yanayoishia na....... son, Ferguson, Morrison
Weekend tamu balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaanza kumpamba sasa OGS Bado ana muda wakujipanga Kurejesha Furaha ilopotea pale OT katuangusha Mechi ngapi mpaka unaanza kumpa sifa kama hizo.
Yeye anajitahidi kwa kiasi chake anatufurahisha ngoja tuone Next Fixture.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba tuna points 6 tu tuwe mabingwa. Acha kufanya kichwa ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
1.We neither make mistake in defence nor in midfield
alikuwa anaangalia replay/var ya goli la mc tominay kwenye screen ya uwanjaniNajaribu kujiuliza hapa alikuwa anamuangalia View attachment 1381340
Sent using Jamii Forums mobile app
amesema alikuwa anaangalia familia yake..ilikuwa uwanjaniNajaribu kujiuliza hapa alikuwa anamuangalia View attachment 1381340
Sent using Jamii Forums mobile app
una maanisha var monitor au??..maana 0T hamna screenalikuwa anaangalia replay/var ya goli la mc tominay kwenye screen ya uwanjani
Morrison kafanya watu wapande vitandani mapema kabisa jumapili ya leoHahahaaa
Kumbe na bongo tupo pamoja
Usicheze na watu majina yao yanayoishia na....... son, Ferguson, Morrison
Weekend tamu balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
ipo ya var, ni lazima kuwekwauna maanisha var monitor au??..maana 0T hamna screen
mkuu haiwaonyeshi mashabiki video...na ndo maana kuna announcer anatumika kila var inapotumikaipo ya var, ni lazima kuwekwa
video ambayo hio picha imetolewamkuu haiwaonyeshi mashabiki video...na ndo maana kuna announcer anatumika kila var inapotumika
ameulizwa kwenye post match interview na yule dingi wa skysport akajibu alikuwa anaangalia familia yake,ilikuwa uwanjani..video ambayo hio picha imetolewa
View attachment 1381370
unamuona kabisa baaada ya mc tominay kufunga ole anageuka na kuangalia kisha ndio anashangilia
inawezekana ni sahihi mkuu, sijaiona hio interviewameulizwa kwenye post match interview na yule dingi wa skysport akajibu alikuwa anaangalia familia yake,ilikuwa uwanjani..
1.We neither make mistake in defence nor in midfield
2.Kama Martial/James wangempa Bruno pasi ushindi ulikuwa si chini ya goli 4
3.For the first time tumecheza na City hawakuwa threat kabisa Aguero aliwekwa mfukoni
4.OGS alifanya sub sahihi kwa wakati sahihi
Kuna game tumewafunga City lakini tulizidiwa but hii game tofauti