Josse kongolo
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 466
- 1,063
Yaani Man united imnunue Dean Henderson kwa mkopo wakati ni mchezaji wa united yupo kwa mkopo huko Shelfield !!!?
Sent using Jamii Forums mobile app




Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Man united imnunue Dean Henderson kwa mkopo wakati ni mchezaji wa united yupo kwa mkopo huko Shelfield !!!?
Sent using Jamii Forums mobile app




Hili gazeti umeandika wewe au mlevi gani??(Joke)DE GEA AKALIA KUTI KAVU KISA MAGOLI YA UZEMBE
Maisha ya David De Gea ndani ya Manchester United yako shakani na huenda akapoteza namba katika kikosi cha kwanza.
Baada ya kufanya makosa ya mara kwa mara, Man United ipo njiani kufanya mazungumzo ya kumsajili kwa mkopo kipa Dean Henderson akitokea Sheffield United.
De Gea ameigharimu Man United mabao saba ambayo yametia doa ubora wake tangu alipojiunga na klabu hiyo mwaka 2011 akitokea Atletico.
Kosa la kutoa zawadi ya bao kwa mchezaji wa Everton Dominic Dominic Calvert-Lewin limemuweka katika mazingira magumu De Gea.
Ingawa kocha Ole Gunnar Solskjaer anamtaja De Gea ni kipa bora duniani licha ya kufanya makosa ambayo yameigharimu Man United katika baadhi ya mechi.
Henderson (21) anatajwa ni mmoja wa makipa bora katika Ligi Kuu England. Pia kipa huyo ni mchezaji wa timu ya taifa ya vijana England.
Man United inatarajiwa kuzungumza na wawakilishi wa kipa huyo mapema mwezi huu. Henderson alisajiliwa na Man United mwaka 2015 kabla ya kutolewa kwa mkopo Sheffield.
Kipa namba mbili Sergio Romero anatarajiwa kucheza mechi ya Kombe la FA dhidi ya Derby.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua kwanini Ole anamprefer zaidi chong kuliko Gomez ,mimi naona chong bado sana hajatulia na anapapara sana bora Gomez anaonyesha ana kitu fulani natamani kumuona benchi zaidi kuliko huko under 23.
Sent using Jamii Forums mobile app
baada ya kufanya operation safisha mji (darmian, valencia, young, sanchez, fellaini, smalling) pamoja na kuleta wachezaji wengine wanne (ambao ni wan bissaka japokuwa sifurahishwi na style yake ya kiuchezaji kwenye ulimwengu huu wa kisasa, maguire amekuwa kiongozi mzuri sana kwa wachezaji, daniel james huyu natumai kilio changu cha mwanzoni wa msimu kitafanyiwa kazi na ole msimu ujao ambapo sikupendelea huyu dogo awe mchezaji wa kikosi cha kwanza, bila ya kumsahau bruno fernandez) hao wote kwa pamoja wameweza kuleta utofauti mkubwa kwenye kikosi chetu kwa muda mfupi zaidi.
ni matumaini yangu dirisha la tatu la usajili chini ya ole gunnar (tutamaliza biashara ya rebuilding kwa kutafuta wachezaji wengine sahihi hususani eneo la winga wa kulia) ila tatizo kubwa litakalobaki ni ubora wa mwalimu mwenyewe kututhibitishia ubora wake kimbinu, kiupande wangu bado namuona ole hajapevuka kimbinu ukimlinganisha na makocha wengineo wanaofundisha timu pinzani mfano jurgen klopp, carlo ancelotti, josep guardiola isala.
kuna nyakati sir alex alikuwa na kundi bora la wachezaji na hatimaye akafanikiwa kulitawala soka la england (1999, 2008-2009 na wapinzani wake wakasema anabebwa na timu bora pamoja na bajeti), vile vile kuna nyakati sir alex alikuwa na kundi la wachezaji wenye viwango vinavyotabirika (2010.-2012) kabla ya kuingia uwanjani ila pia alifanikiwa kulitawala soka la england na cha ajabu zaidi aliweza kucheza robo fainali ya ligi ya mabingwa takribani mara tatu ndani ya miaka minne kama nitakuwa nipo sahihi.
Hivyo basi ubora wa rebuilding unaofanywa na mwalimu hautoshi kuthibitisha ubora wake katika kuongoza timu kubwa kama manchester united (ole gunnar anapaswa kupevuka zaidi kama anahitaji kudumu man utd kwa muda mrefu zaidi, mfano mdogo tumeshacheza na wolves takribani mechi sita kwa siku za karibuni lakini mpaka leo tumeshindwa kupata tiba ya kimbinu dhidi yao).
sote hatufahamu anachokiwaza ed woodward (mzee wa suprise) kwenye mtindio wa ubongo wake, tukumbuke mara nyingi amekuwa akitamka hadharani ya kwamba klabu itaendelea kufanya kazi na ole msimu ujao kwa sababu ya kuvutiwa na mipango yake ndani ya klabu, hata nyakati za louis van gaal alimpaka mafuta kwa mgongo wa chupa na mwisho wa msimu akavunja mkataba wake licha ya kubeba ubingwa wa FA dhidi ya crystal palace na sababu kubwa anayoiangalia zaidi ni tiketi ya UEFA.
kivyovyote itakavyokuwa mwalimu yeyote atakayekuwepo msimu ujao atakuwa amebakiwa na kazi ndogo sana ya kukamilisha rebuilding ya kikosi chetu ambayo imeanza kufanywa na ole gunnar solskjaer...... ni mwendawazimu pekee ndiye atakayekuja na mkakati mpya wa kujenga timu na kuutelekeza huu uliopo.
- david degea au dean henderson
- wan bissaka + ( dalot au Ethan Laird )
- luke shaw + brandon williams
- eric bailly + lindeloff + tuanzebe
- harry maguire
- scott mctominay + nemanja matic (man of the match wa mechi yetu dhidi ya everton kwa mtazamo wangu)
- fred + paul pogba
- bruno fernandez
- marcus rashford
- anthony martial
- daniel james + greenwood + juan mata
Afanye squad rotation lakini tupate ushindi tuingie robo fainaliTunakiwasha ugenini vs derby I hope ole hata weka mitambo yote kwaajili ya mziki wa jpili na city
Sent using Jamii Forums mobile app
Afanye squad rotation lakini tupate ushindi tuingie robo fainali
Njia nyeupe kabisa
Dstv wanaonyesha all English domestic cups
Daa inabidi nilale tuu sasaDstv wanaonyesha all English domestic cups
So,dont get twisted
Nilichomaanisha ni kuwa Dstv wanaonyesha EPL,FA cup pamoja na Carabao(EFL cup)..so kama una SS3 utacheki gemu usiwe na pressure
SanteeNilichomaanisha ni kuwa Dstv wanaonyesha EPL,FA cup pamoja na Carabao(EFL cup)..so kama una SS3 utacheki gemu usiwe na pressure
Tumalize mechi mapema, Fernandez na Fred wapumzishwe View attachment 1378163
Sent using Jamii Forums mobile app