Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii Man Utd inapitia transition period miaka yote tokea Sir Alex aondoke? imekua vigumu kwa mashabiki wa Man Utd kukubali kua timu imekua yao ipo level ya chini sawa na akina Everton.
Ukiangalia wachezaji wa United uwanjani kwa takriban miaka minne sasa; unaona kabisa timu imeshindwa kupata world class.

Moyes aliwahi kusema mnataka wachezaji gani ili ibadilishe timu? Kweli kabisa unamwacha Lukaku unamtegemea Greenwood alafu unasema unajenga timu? Sir Alex hakuwahi kupata mafanikio na watoto na wachezaji goigoi kama wachezaji wa sasa wa United.
 
Hang'over ya Alex inawatesa wengi.Jambo la msingi tusubiri game 11 ziishe then tumjudge Ole sendeka.Binafsi natamani sana Diego simeon aje incase Solskjaer atakua fired.
Hii Man Utd inapitia transition period miaka yote tokea Sir Alex aondoke? imekua vigumu kwa mashabiki wa Man Utd kukubali kua timu imekua yao ipo level ya chini sawa na akina Everton.
Ukiangalia wachezaji wa United uwanjani kwa takriban miaka minne sasa; unaona kabisa timu imeshindwa kupata world class.

Moyes aliwahi kusema mnataka wachezaji gani ili ibadilishe timu? Kweli kabisa unamwacha Lukaku unamtegemea Greenwood alafu unasema unajenga timu? Sir Alex hakuwahi kupata mafanikio na watoto na wachezaji goigoi kama wachezaji wa sasa wa United.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • 20200225_140452.png
    20200225_140452.png
    107.9 KB · Views: 6
Next week tunacheza na Everton ni game ngumu sana kwetu.

Hatutakiwi kudondosha point kizembe tuwaondoe chelsea pale juu.

Cleansheet tutazipata sana sasa hivi kwa sababu hata De Gea ameimarika tena siyo kama alivyokuwa december.
Manchester united ni timu ya pili kwa cleansheet ulaya nyuma ya psg, imefungana na Liverpool nafasi ya 2.
vlksgiyfn1j41.jpg

Cleansheet 8 zimepatikana mechi 12 zilizopita. Nemanja Matic Effect.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Next week tunacheza na Everton ni game ngumu sana kwetu.

Hatutakiwi kudondosha point kizembe tuwaondoe chelsea pale juu.

Cleansheet tutazipata sana sasa hivi kwa sababu hata De Gea ameimarika tena siyo kama alivyokuwa december.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiwafunga Everton pia ita boost confidence ya wachezaji, maana timu ndogo nyingi zinatusumbua. Na tukivuka mtihani wa city na Spurs ratiba yetu sio ngumu sana.
 
Mechi ya Everton itakuwa ngumu sana kwetu hawa jamaa hajawahi kuwa easy prey wetu.

Fixture yetu lazima tucheze vizuri walau game 4 mfululizo tutakuwa tumeshamtoa chelsea pale juu.

Lakini ni muhimu tuanze na Everton kwanza
Tukiwafunga Everton pia ita boost confidence ya wachezaji, maana timu ndogo nyingi zinatusumbua. Na tukivuka mtihani wa city na Spurs ratiba yetu sio ngumu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale mnaoombea mabaya kwa OGS taarifa yenu hii na mjiandae kisaikolojia kwa hili.

Pogba hauzwi na klabu inafanya mpango wa kimpa mkataba mpya our world class midfield Paul Pogba. Na wapinzani watambue pale EPL hakuna kiingo mkali zaidi ya Pogba zaidi ya KDB tena kidogo. So partnership ya mauaji itaanza kazi soon na itakua ni Pail na Bruno wanakichafua hapo kati tutegemee Martial kuendelea kucheka na nyavu maana hizo assist atakazopata zitakua kama zote.

OGS hawezi ondoka wala kufukuzwa maana ataleta success pale old Trafford pengine ataanza na FA na Europa msimu huu. Kuna kila dalili msimu huu lazima tuchukue kombe hatutoki kapa. So OGS in.

#Wachawi wa Paul na Ole mkalale
#GGMU
 
Yaan Pogba akipunguza tu yale mapepo yake partnership yake na Bruno itakua safi sana, Inawezekana Rashford na Martial wakafunga goli nying tukasahau kutafuta striker mwengne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiz statistics ndy zinadanganya watu
kudanganya nini? kwamba hizo cleansheet hazijatokea?

nusu ya hizo cleansheet ni mechi 12 tu zilizopita, toka matic na luke shaw warudi.

mechi 3 zilizopita za ligi zote tumeweka cleansheet
0-0 na wolves
2-0 na chelsea
3-0 na watford

niliwahi kuandika humu wiki kadhaa zilizopita watu wetu wakirudi majeruhi timu watu wataisahau,

mechi 6 zilizopita michuano yote tumeruhusu goli 1 tu tena juzi na club bruge,

kama unaona kucheza na city, wolves, chelsea, watford etc bila kuruhusu goli ni stats mbaya, sijui ipi itakuwa stats nzuri.
 
Haha umekua kama malafalye mzee wa liverpool halisi na klop

Back
Top Bottom