Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

HONGERENI KWA KUSHINDA MECHI JANA.

CHELSEA HATUNA ROHO YA KWANINI, TUNAWAPONGEZA

KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE ZILIZOBAKI.

SHUBAAAAAMIT ZENU JANA MMEOKOTA POCHI YA MZUNGU

Sent using Cash Money Wings
Awa wakishashinda mechi mbili tatu wana anza na ratiba za kubeba ubingwa ...utashangaa "tukishinda gemu saba mfululizo ubingwa wetu" hahaha ...kwa iyo ni kuyaombea njaa yaendelee kupigwa pigwa tu...

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What a way to put pressure on Chelsea on top four race

Bruno

Ighalo goli halipo mbali

Greenwood best finisher at United

Fred & Matic katikati ya uwanja

Ushindi wenye cleansheet unanoga sana

Point 9 kutoka nafasi ya 3, point 3 kutoka nafasi ya 4

Consistence is all we need

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona sasa ndo ujinga wenu huu unawaza nafasi ya tatu wakati ata ya tano ujafika...

Wewe huwezi presha yeyote kwenye club kubwa na tajiri kama Chelsea sahau ilo...

Sisi tutaendelea kucheza uefa kwa misimu mingine saba zaidi ...Spurs akikaa sawa anakushuka tu...

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah kwa timu inayohitaji kufanya quick transition kama man united kwa ule uchezaji wa Grealish tutaweza kweli ?

Au kwa sababu Aston Villa wanacheza deep sana ndiyo maana na yeye anafanya hivyo kusubiri wenzake wapande.
Unamaanisha ana pooza mashambulizi?namwona ni team player ambaye yupo dedicated sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Grealish naona ni mtu anayedisturb mabeki hasa wa zile team zinazo paki basi
Yeah kwa timu inayohitaji kufanya quick transition kama man united kwa ule uchezaji wa Grealish tutaweza kweli ?

Au kwa sababu Aston Villa wanacheza deep sana ndiyo maana na yeye anafanya hivyo kusubiri wenzake wapande.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana defence yetu ilianza game vibaya sana na Mid pia(Matic+Fred) hawakuwa wametulia sana

Martial ni mchezaji mmoja haeleweki..kuna muda anakuwa kama hayupo au kilaza tu na kuna muda una ona huyu dogo ni world classy..Very inconsistency

Bruno Fernandes..Meeen!!,hiki ndo tulichokuwa tunahitaji

Muda sasa wa kuwafurusha Club Bruge kunako Europa League

GGMU
 
Endelea kupita mbele ya wanaume huku umevaa kanga moko iliyoloa
Umeona sasa ndo ujinga wenu huu unawaza nafasi ya tatu wakati ata ya tano ujafika...

Wewe huwezi presha yeyote kwenye club kubwa na tajiri kama Chelsea sahau ilo...

Sisi tutaendelea kucheza uefa kwa misimu mingine saba zaidi ...Spurs akikaa sawa anakushuka tu...

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Father Marshal na genge lake (Father Lingard, Father Rashford) wanaharibu ndio wanavuruga team. Hawa jamaa hawana consistency na wanachangia sana vipaji vipya vinavyokuja Old Trafford kufa.
Inabidi wasambaratishwe. Kwa kuanza na Father Pogba
IMG_20200224_112136.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liver upepo unaelekea kwao ila siyo bora kiviiile
Wakala wa mchezaji aliweka vipengele vya kiuni kina matt judge/woodward wakagoma kumsajiri alafu dogo hana mapenzi na utd bcoz ilimpasa amwambie raiola alegeze hili dili likamilike refer kwa bruno kwa mendes

Tumpe muda greenwood kwasababu ni cha kwetu, dogo anajua

Tatizo timu yetu bado haijakaa sawa ndio maana baadhi ya vipaji tunaviona vya kawaida, wew jaribu kuwaza huyu greenwood awekwe mbele kwenye timu yenye muunganiko kama RB leipzig, mancity, liver au hata iyo dortmund what wil happen

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom