Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yeah inabidi tukaze msuli, hizi mechi za karibuni tumepata matokeo, lakini kaugonjwa ketu ka inconsistent kanaweza kututembelea muda wowote

Kwenye head to head Everton amekuwa mnyonge kwetu (kiujumla) lakini ni ngumu kusahau kipigo cha goli 4 walichotupa mwaka jana pale Merseyside, nimemuona Ole akikiri kwamba kwake matokeo ya hiyo mechi ilikuwa ni lowest point kwake kama kocha (sijui kwa United au his whole carrier)

On paper tupo vizuri kuliko wao na tunaweza kuwapiga vizuri tu, kwenye pitch bado ni kitendawili kwani tangu tukutane nao mara ya mwisho kila timu imekuwa na mabadiliko kadhaa

Wachezaji wa kuwatazama ni Richalson na Lewin hasa hasa kwenye mipira ya juu. Mipira ya juu kupitia krosi na dead balls yote ni tishio ukicheza na Toffees
Wakuu jana Leicester city kapigwa 1 - 0 na Norwich, endapo tukimfunga everton jumapil itakua tofauti yetu na mtu wa tatu point 6View attachment 1372128

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah inabidi tukaze msuli, hizi mechi za karibuni tumepata matokeo, lakini kaugonjwa ketu ka inconsistent kanaweza kututembelea muda wowote

Kwenye head to head Everton amekuwa mnyonge kwetu (kiujumla) lakini ni ngumu kusahau kipigo cha goli 4 walichotupa mwaka jana pale Merseyside, nimemuona Ole akikiri kwamba kwake matokeo ya hiyo mechi ilikuwa ni lowest point kwake kama kocha (sijui kwa United au his whole carrier)

On paper tupo vizuri kuliko wao na tunaweza kuwapiga vizuri tu, kwenye pitch bado ni kitendawili kwani tangu tukutane nao mara ya mwisho kila timu imekuwa na mabadiliko kadhaa

Wachezaji wa kuwatazama ni Richalson na Lewin hasa hasa kwenye mipira ya juu. Mipira ya juu kupitia krosi na dead balls yote ni tishio ukicheza na Toffees

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia Yeri Mina wakati wa setpieces ana wavuruga sana mabeki
 
Hivi mkufunzi wetu ni OLE au McKEAN yule mwenye upara?
Maana Ole utamkuta kakaa tu kakunja zake 4 lakini anayehamasisha wachezaji ni yule babu.
 
Atakuwa anawapa maelekezo wachezaji fulani ambao ni portion yake mazoezini ili kukidhi Vitu Ole anataka maana huwa wanashauriana
 
OLE GUNNAR ASIWACHUKULIE POA EVERTON WAMEBADILIKA SANA KIUCHEZAJI WAPO VIZURI SANA YULE ANCELLOTI NI MASTERMIND AKIENDA OVYO MNAWEZA MKAPATA KIPIGO CHA MBWA KOKO TENA MKIZINGATIA MPO UGENINI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Next time ukija kwenye jukwaa letu uandike mwenyewe siyo kumkabidhi beki tatu akuandikie utatupofua macho.

Ni hayo tu.
OLE GUNNAR ASIWACHUKULIE POA EVERTON WAMEBADILIKA SANA KIUCHEZAJI WAPO VIZURI SANA YULE ANCELLOTI NI MASTERMIND AKIENDA OVYO MNAWEZA MKAPATA KIPIGO CHA MBWA KOKO TENA MKIZINGATIA MPO UGENINI

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inter milan vs getafe

Getafe amemuondoa ajax kwenye michuano ya europe league na hii ni dalili tosha ya kwamba hao wahuni watatuletea figisu kubwa sana kwenye kampeni yetu ya kutafuta nafasi ya uefa kwa mlango wa nyuma kama watafuzu hatua inayofuata

misimu miwili iliopita tuliwaondoa getafe kibahati zaidi (unaikumbuka ile nafasi waliokosa dakika za mwisho kupitia kwa bwana mapara akiwa peke yake, ile siku nusura niharishe)

getafe ndiye adui yetu mkubwa akifuatiwa na sevilla na si inter milan au ndugu yake AS roma.

timu za spain zinatudhalilisha sana
mwenye masikio na asikie.

common Inter Milan
1582982578133.png
 
Hata mimi naamini zikiondolewa timu za Spain kwenye hili kombe na sisi tukafika fainali basi tutalichukua kirahisi tu.

Historia yetu na timu za Spain siyo ya kuridhisha sana lakini nadhani Inter Milan atatupunguzia mmoja kisha Sevilla.

Tisisahau pia timu za Germany ziko tatu na zote ziko moto sana lakini huenda tukapenya tukikutana nao.
inter milan vs getafe

Getafe amemuondoa ajax kwenye michuano ya europe league na hii ni dalili tosha ya kwamba hao wahuni watatuletea figisu kubwa sana kwenye kampeni yetu ya kutafuta nafasi ya uefa kwa mlango wa nyuma kama watafuzu hatua inayofuata

misimu miwili iliopita tuliwaondoa getafe kibahati zaidi (unaikumbuka ile nafasi waliokosa dakika za mwisho kupitia kwa bwana mapara akiwa peke yake, ile siku nusura niharishe)

getafe ndiye adui yetu mkubwa akifuatiwa na sevilla na si inter milan au ndugu yake AS roma.

timu za spain zinatudhalilisha sana
mwenye masikio na asikie.

common Inter Milan
View attachment 1372618

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Celta vigo tuliwaondoa kea tabu sana the last tunalichukua hili kombe.

Upara yule mchezaji wa zamani wa Man City? Walikuwa Celta vigo wale.

Sema kwa mfumo wa Ole naona kama Timu za spain hazitatusumbua sana maana nyingi zinafunguka. Conte atatusumbua anapaki sana basi.
 
Tisisahau pia timu za Germany ziko tatu na zote ziko moto sana lakini huenda tukapenya tukikutana nao.
yes, niliwahi kuangalia mechi ya bayern leverkusen dhidi ya bayern munich (walicheza kwa nidhamu sana) hatimaye walipata ushindi ndani ya allianz arena

leon bailey (dogo hana mbwembe nyingi kama martial), baadae alipata injury
moussa diaby (hatari sana huyu jamaa), aliwasumbua sana benjamin parvard na alphonso davies
kai havertz,
kevin volland
sven bender
lars bender

1582987285343.png

timu nyenginezo sijabahatika kuzifuatilia
 
Jamaa chombo chake huwa hakiachi duh.

Halafu katika age hiyo bado anaendesha gari?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anaweza kusimama, kutembea, kuongea, kuandika anashindwa vipi kuendesha gari tena auto?

Hajafika uzee wa kukatazwa kuendesha. Yupo fiti.

Hata walemavu siku hizi wanaendesha bila shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao Bayer Leverkusen na Entrant Frankfurt ni hatari sana.

Wanafunga goli nyingi sana hasa katika viwanja vyao vya nyumbani japo na wao wanaruhusu magoli.

Kingine Frankfurt wanacheza kwa speed sana kiasi kama tutakutana nao tutalazimika kuwa imara sana kuneutralize hiyo strength yao.

Bayer Leverkusen kwa generation waliyonayo ukikutana nao unahitaji umakini mkubwa sana ile safu yao ya ushambuliaji ina watu wasumbufu na mafundi sana.

Lakini kama tukidhamiria kupambana kwa timu zilizobaki huenda tukafika mbali labda bahati isiwe upande wetu.
yes, niliwahi kuangalia mechi ya bayern leverkusen dhidi ya bayern munich (walicheza kwa nidhamu sana) hatimaye walipata ushindi ndani ya allianz arena

leon bailey (dogo hana mbwembe nyingi kama martial), baadae alipata injury
moussa diaby (hatari sana huyu jamaa), aliwasumbua sana benjamin parvard na alphonso davies
kai havertz,
kevin volland
sven bender
lars bender

View attachment 1372767

Back
Top Bottom