Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kikosi chetu hicho, Ighalo anaanza
manchesterunited___B9FLMA3gqNZ___.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huku kwetu zenji hatujawahi kukosa kuangalia mechi kwa kisingizio cha king;amuzi (zanzibar cable, coconut digital wapo onfire), sielewi hizi kampuni zinapata wapi haki miliki ya kuonyesha hizi mechi (sijui wanaibia?) wakati kampuni nyengine kubwa kama vile dstv, azam wanakosa mamlaka ya kuonyesha mechi.

bein sport
channel+ ya ufaransa zote hizo hamupati kwenye ving'amuzi?
cable ni wizi mkuu,
 
Martial alikuwepo kwenye kikosi kilikwenda hotelini, lakini kikosi cha mwisho hayupo

Pengine Ole anajaribu ku manage wachezaji asije akawachezesha sana wakapata injury, katika hiki kipindi kuna mechi nyingi ndani ya muda mfupi, kumbuka Toffees hawapo mbali mkuu
Martial pancha tena au kapumzishwa tu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo kama yupo fiti 100% angekuwepo hata benchi
Martial alikuwepo kwenye kikosi kilikwenda hotelini, lakini kikosi cha mwisho hayupo

Pengine Ole anajaribu ku manage wachezaji asije akawachezesha sana wakapata injury, katika hiki kipindi kuna mechi nyingi ndani ya muda mfupi, kumbuka Toffees hawapo mbali mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakukuwa na haja ya kumchezesha Bruno na Fred.
Wangeanza kina Pereira na Juan Mata even James Garner na Dylan Levit

itabidi unipe elimu zaidi kuhusiana na hii ishu...
kama ni wezi kwa nini hawachukuliwi hatua yoyote ya kinidhamu na wahusika?
na kama wahusika hawana muda huo kwa nini kampuni nyengine ziongozwe na woga?
mtu akichoma na wao hua pia wanakamatwa ndio maana unaona cable nyingi zipo mikoani zaidi kuliko dar, na kupunguza chance ya wao kukamatwa wanaonesha mpira kwa kutumia chanell ambazo sio za dstv kama vile Bein sport, na hio canal+.
 
Fred hakuonekana na wapiga picha, ikadhaniwa hataanza, ila naona ameanzishwa

Angeanza Matic na Tominay na Fernandez, Fred atokee benchi ikibidi, kuwaanzisha hao madogo kwenye game muhimu kama hii ni too risk Mkuu, kumbuka aggregate iliyopo haimpi kocha kiburi cha kuchezesha hao madogo

Ole anayapa haya mashindano uzito mkubwa kwa kuwa ni moja kati njia za kucheza UCL mwakani (naamini haya ni kati ya malengo aliyowekewa na Ed) na kupata walau silverware msimu huu

Kiukweli Fred ametumika sana na tuombe asiumie kwani ni mchezaji muhimu sana kwetu kwa wakati huu
Hakukuwa na haja ya kumchezesha Bruno na Fred.
Wangeanza kina Pereira na Juan Mata even James Garner na Dylan Levit

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mechi ya Watford hakuwa form kabisa ni kama alikuwa kachoka hivi.

Back
Top Bottom