Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wale wazee wa hashtag ya Ole out mpo?
Au akili zimeshakaa sawa saivi mnaelewa nini anafanya maana kuna ambao mlisema hamuelewi hata mfumo wa Ole ukoje bado?
 
Wale wazee wa hashtag ya Ole out mpo?
Au akili zimeshakaa sawa saivi mnaelewa nini anafanya maana kuna ambao mlisema hamuelewi hata mfumo wa Ole ukoje bado?
Unaangalia mechi au unasoma tu magoli yanavyofungwa hapa jeiefu.

Umeona kilichotokea dakika ya 23
Screenshot_20200228-001721.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fernandes, Ighalo & Scoty kambani

Fred 2 goals, man of the match performance ..... Kupanda kwa kiwango chake kwa miezi kadhaa iliyopita, leo ndio kilele na hitimisho kuhusu maswali juu ya uwezo wake. Fred ana uwezo mkubwa sana, anacho hitaji ni kuaminiwa na kupewa majukumu

Final score 5 - 0, aggregate 6 - 1

Twende hatua nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Seeing Fred score two goals was something special..MOTM imo

B.Fernandes top class again..ile pasi kwenye goli ya ighalo ilikuwa tamu sana

Walete hao Everton

Bailly na Maguire ni combo ninayohiitaji kwenye game dhidi ya toffies

GGMU
 
Our possible opponents in the Europa League last 16:
Wolves
Roma
Getafe
Rangers
Sevilla
LASK
FC Basel
Wolfsburg
Inter Milan
Olympiakos
FC Copenhagen
Bayer Leverkusen
Shakhtar Donetsk
Istanbul Basaksehir

I think kwa timu zilizobakia tukikomaa tunaweza qualify Champions league kupitia Uropa
 
Watupatie yeyote ila sio Wolves. Tumeshacheza nao Mechi 4, msimu huu. Inatosha.

Getafe, Frankfurt(akifuzu), Inter, Leverkusen. Hawa nao wako vizuri.

Beggars can't be choosers
 
Fernandes, Ighalo & Scoty kambani

Fred 2 goals, man of the match performance ..... Kupanda kwa kiwango chake kwa miezi kadhaa iliyopita, leo ndio kilele na hitimisho kuhusu maswali juu ya uwezo wake. Fred ana uwezo mkubwa sana, anacho hitaji ni kuaminiwa na kupewa majukumu

Final score 5 - 0, aggregate 6 - 1

Twende hatua nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Wale Mgambo wa jiji la London imekuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom