Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa tunashinda goli nyingi nyingi..yule Martial aishie huko huko na mikosi yake kwenye timu.. akiwepo.
Screenshot_20200228-051018_All%20Goals.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu humu anaongea vile anavyojiskia ila likija swala la OGS naomba niwe upande wake...

Klopp msimu wake wa kwanza alifika fainali mbili na zote alifungwa Carabao na Europa, Imemchukua misimu 3 kufikia haya mafanikio ambayo Liverpool wanayo pamoja na uzoefu wake

Guadiola msimu wake wa kwanza alinyooshwa vizur sana kias kwamba ikabd afanye total Ovahaul ya Team karbia yote ili aje atengeneze kikosi chake na alifanikiwa baada ya hapo pamoja na uzoefu wake.

Tuje kwa OGS ana dirisha moja tu ambalo amefanya usajili ukiacha hili la January from which amefanikiwa kusajili kutokana na mahitaji ya team kwa maana hatukua na CB hatukua na beki namba 2 wa uhakika pia hatukua na Winger wa uhakika, Akaleta maingizo ya Maguire, Bissaka Danny James ambayo tumeona impact yao kwenye Team. Akaruhusu baadhi ya wachezaj kuondoka huku akiwapandisha wengne toka Academy... Swap ya Macton na Hereira Gomez kwa Lukaku....

Ukiangalia kwa haraka haraka utaona kwamba huyu jamaa anafanya kitu gan mbona hao watu waliopandswa ni Mbingu na Dunia ila hapana leo hii Scot kila mtu anakubali kwamba ni namba 6 yetu ya uhakika.

Amekutana na majeruhi katikat ya Msimu ambayo hakuna anaetegemea ameleta ingizo Jipya ambalo ni Bruno Frednandez ambae tayar ameshaonyesha kwamba ana impact kubwa kwnye team

So ukiangalia kwa jicho makini unaona kabisa team yetu inasajili kutokana na mahitaji ya kocha na sio kuangalia tutauza jersey kias gani.

Toka tuachane na Sir Alex tumekua team ambayo tunasajili sajili hovyo tu kias kwamba mpka wachezaji wanajua kwamba wanaenda Manchester United kupiga hela mfano mzuri ni Alex Sanchez.

Ila angalia usajili wa OGS hakuna mchezaj ambae analipwa mshahara unaozid pound 190,000 kwa week so hapo unagundua ukiacha mahitaji ya team pia ana control sana kulipa mishahara hewa unecessary.

Acha niendlee kumpa benefit of doubt mpka pale team ya sasa itakapokua kamili bila ya majeruh ya wachezaj wa kikos cha kwanza.

Nasubr Usajili wake wa majira ya Joto then tukianza msimu mwengne na akishindwa kudeliver kutokea hapo tutasema kwamba Yes OGS Aondoke na ntakua nakubaliana na wale Ant-OGS wote.

Aluta Continua.... Roma haikujengwa kwa siku Moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeeleza vizuri, ila watu walimtaka Mourinho msimu wa kwanza tu abebe makombe yote ndani ya msimu mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inter na Wolves tujipange
Our possible opponents in the Europa League last 16:
Wolves
Roma
Getafe
Rangers
Sevilla
LASK
FC Basel
Wolfsburg
Inter Milan
Olympiakos
FC Copenhagen
Bayer Leverkusen
Shakhtar Donetsk
Istanbul Basaksehir

I think kwa timu zilizobakia tukikomaa tunaweza qualify Champions league kupitia Uropa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Form is temporary but class is permanent

Huyu mwenye #18 anatembea hewani na mpira, zile penati atakuja kupata kesi ya kuvunja migongo ya makipa

Tusubiri kirusi arudi tuone OGS atawatumiaje wote kwa pa1

Now confidence ipo juu sana, walete everton

WE NEVER DIE
GGMU

FB_IMG_1582864545972.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwepo wa Martial ungekuwa na msaa sana kwa Ighalo kufunga magoli mengi zaidi, kama wakichezeshwa pamoja.

Inawezekana wewe ni hater wa jamaa lakini uwepo wake umetufanya tushinde pia mechi nyingi tu.

Itakuwaje Ighalo akashindwa kufanya vizuri mechi ya jumamosi kwenye sub atakwenda kucheza nani bila uwepo wa Martial ?
Furaha yetu haters. Naona matumaini ya kumfunga Everton, nilisema Jamaa bishoo hata jana ile assist ya Mata ambayo Ighalo alifunga angechelewa huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwepo wa Martial ungekuwa na msaa sana kwa Ighalo kufunga magoli mengi zaidi, kama wakichezeshwa pamoja.

Inawezekana wewe ni hater wa jamaa lakini uwepo wake umetufanya tushinde pia mechi nyingi tu.

Itakuwaje Ighalo akashindwa kufanya vizuri mechi ya jumamosi kwenye sub atakwenda kucheza nani bila uwepo wa Martial ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sub hata greenwood ni finisher mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuaje watu mnafurahia mchezaji wenu aumie

Imagine hapo hapo kati Ighalo kapata shida, hata kama Martial ni mvivu lazima timu iwe na depth

Lazima timu iwe na options Mkuu, kuna mechi inahitaji mtu wa style ya Martial na sio Ighalo
Furaha yetu haters. Naona matumaini ya kumfunga Everton, nilisema Jamaa bishoo hata jana ile assist ya Mata ambayo Ighalo alifunga angechelewa huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom