Hivi movement Martial, ndizo anatakiwa kuzifanya. Atafunga goli za kutosha.
Sema pogba haeleweki anaweza kuharibu team stabilityNawaza akikaa pale bruno na pogba hapo kati hahaha ngoja tuone. Magoli ya leo mazuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
We mdau uliesema hujutii kutomsajili halland instead of greenwood ivi halland wamjua au wamsikia?
mpaka greenwood afikie uwezo wa halland tayari yule jini yupo top three ya wagombea balon d'or
We mdau uliesema hujutii kutomsajili halland instead of greenwood ivi halland wamjua au wamsikia?
mpaka greenwood afikie uwezo wa halland tayari yule jini yupo top three ya wagombea balon d'or
Wakala wa mchezaji aliweka vipengele vya kiuni kina matt judge/woodward wakagoma kumsajiri alafu dogo hana mapenzi na utd bcoz ilimpasa amwambie raiola alegeze hili dili likamilike refer kwa bruno kwa mendesHahaha. Imebidi nicheke eti yule Jini. Ila Haaland ni noma yule dogo a fox in the box a pure number 9 deadly striker huwezi fananisha na Greenwood wetu bado anahitaji muda lufika peak kama ile.
Majuto ya Haaland hayatafutika milele unless tumsajili akitoka Dortmund
HONGERENI KWA KUSHINDA MECHI JANA.
CHELSEA HATUNA ROHO YA KWANINI, TUNAWAPONGEZA
KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE ZILIZOBAKI.
SHUBAAAAAMIT ZENU JANA MMEOKOTA POCHI YA MZUNGU
Sent using Cash Money Wings
Yaani bora tubadilishane wachezaji.Sisi tumchukue yule wa Norwich anayevaa jezi namba 14 sisi tuwape LingardNina furaha sanaaa, haya mavitu yalikua wakati wa sir alex
Toka aje bruno timu yetu imebadilika sana, kila mchezaji anajitoa %
Bruno + Maguire hii ni raha ya kusajiri wachezaji wanaojielewa, corona virus pogba he must learn
Leo OT wameimba jina la bruno, kawa kipenzi cha fans, tuwaongeze pesa sportnglisbon tu
Mason greenwod kila nikimuangalia hainiumi kutomsajiri halland
Kule nyuma kwa kina maguire sina cha kuzungumza
Lile goli la martial ngoja nikalinywee serengeti lite za moto
Scot karejea
Lingard/pereira nina imani walikua wanatazama game kwenye tv, wanachakujifunza kwa fundi master pass bruno
Rashfod na corona virus pogba tunawasubiri mpone, msijiharakishe hakikishen mnapona %
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani bora tubadilishane wachezaji.Sisi tumchukue yule wa Norwich anayevaa jezi namba 14 sisi tuwape Lingard
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia Liverpool wanamuwinda huyo kinda anaitwa Owen Cantwell, mimi huwa nashangaa watu wanamuona Grealish ila hawamuoni huyu mwamba wa Norwich.
Sent using Jamii Forums mobile app
halland yule ni shida anfunga Sana. Ad sas mech alizochez Dortmund kafungaWew unaeona greenwood anafaa kuliko lile jini halland ana game 8 bao 12 Huko dortmund