Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pamoja na kwamba Ole si mtu sahihi pale united,Poch pia hafai kuwa mbadala wake kama tunakusudia kuishuhudia manchester bora ndani ya kipindi kifupi.
Spurs alikuwa na wachezaji world class lakini hakuwa na ushindi wa muendelezo.
Sivutiwi naye pia

Ukiacha Harry Kane(player from their academy) mchezaji gani wa Spurs alikuwa World Class ?
 
Mkuu kwenye academics kuna kitu huwa kinaitwa authority, Professor/Mwandishi wa Literature akitoa maoni yake kuhusu subject flani ina matter sana. Prof. History akitoa maoni ya historia, Mawakili maarufu wakitoa maoni yao kuhusu sheria tunakubaliana nao, why not Pep on football matters.

Kwa mafanikio alivyopata Pep kwenye soka, anapotoa maoni yake kuhusu soka na coaching ina uzito mkubwa, ilikuwa hivyo kwa SAF, itakuwa hivyo kwa Pep, itakuwa hivyo kwa Jose.

Hao wote ni authority sahihi linapokuja suala la mchezo wa soka Mkuu

Pep Guardiola kama nani akisema kitu ama kutamka mtu flani ni mzuri najifunza kutoka kwake ndio watu wote wamfuate yeye.
kwa hiyo Guardiola kumtaja Kocha Wa Sheffield United kama Mtu mwenye Farsafa safi ya mpira na anajifunza vitu kutoka kwake we umeona anafaa sana kuja kuitumikia Manchester United as a Manager???

NB:
Pep Guardiola ni binadamu na sio Mungu kwamba kila atakachokisema afuatwe ama yupo sahihi aslimia 100% maana humu nishaona Makocha ambao wakiongea kitu flani kwenye Mass Media basi watu wanatetereka wee (JURGEN KROOP na PEP GUARDIOLA) hapo unatakiwa utumie na akili yako kufikiri Pia Je, achokisema Guardiola kipo sawa Ama wewe una vision gani kuhusiana na swal hilo sio mnatuletea Maoni yaki maandaz! hapa
Kwanza nakerekaga sana kuona mnaongelea Maswala ya Kroop na Pep maana naona mnasujudu sana wanavyoviongea haya kazi kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiacha Harry Kane(player from their academy) mchezaji gani wa Spurs alikuwa World Class ?
Son ni world class
Eriksen ni world class
Lloris ni world class
Jan Vertongen ni world class
Walker alikuwa world class
Rose pia huwezi kumuaha kwenye hili kundi
 
Inter Milan baada ya kuchukua treble na Mourinho kuondoka timu ilipotea kabisa na Juve wakaanza ku-dominate baada ya kuwa promoted toka Serie B baada ya kushushwa daraja kwa tuhuma za kupanga matokeo.Inter ilipotea na wakawa na matatizo ya kiuchumi baada ya kuanziswa kwa FFP ikamlazimu mwenye timu Massimo Morati kuiuza kwa Wachina .Wachina mwanzo wamepata taabu licha ya kuwa na hela FFP ilikuwa inawabana (lazima uspend kutokana na mapato).Kumbuka AC Milan/Inter hawana uwanja San Sirro/Geuseppe Meaza ni uwanja wa Manispaa ya Milan so mapato yalikuwa madogo baada ya Captain wao Zanetti kustaafu walimweka kwenye management taratibu Inter ilianza kurudi wakawa wanacheza Uropa mpaka baadae wakarudi Champions league.Baada ya Juventus kuachana na Bepe Marotta (DOF)ambaye amechangia sana mafanikio ya Juventus Inter wakampa kazi na akawashawishi Wachina wamchukue Conte ambaye alifanya nae kazi Juve.

Mauro Icardi alikuwa superstar wao pale Inter lakini ana matatizo ya nidhamu last season aligoma kucheza baadhi ya mechi,Conte aliwaambia hamtaki Icardi&Naingollan management wakamsikiliza .Icardi alikuwa anataka kwenda Madrid au Juventus but Madrid waliachana nae kisa nidhamu Inter wakagoma kuwauzia wapinzani wao siku ya deadline PSG wakaleta proposal ya kumsajili kwa mkopo .

Conte akawaeleza wachezaji anaowataka wakafanikiwa kuwasajili Godin,Lukaku,Barella,Sensi na wengineo now ni anagombania ubingwa na Inter wana timu ya kushindana na Juve hata miaka 4 ijayo licha ya Juve kuwa klabu yenye fedha nyingi sana na kuna hatari Inter wakaleta challenge kubwa au kuondoa dominance yao pale Italy.

Pia AC Milan na Inter wana proposal ya kujenga uwanja wao na kuacha kuutimia San Siro

I think unaona path waliyopita Inter baada ya kupotea,Glazers bado hawajagundua tatizo dont expect too much kwa structure iliyopo
 
Son ni world class
Eriksen ni world class
Lloris ni world class
Jan Vertongen ni world class
Walker alikuwa world class
Rose pia huwezi kumuaha kwenye hili kundi

Sidhani kama uko serious world class players hawafiki hata 20 kwenye EPL

Chelsea:Kante
United:currently hakuna
Spurs:Kane
Arsenal:Auba
City:Aguero,De Bruyne,Bernardo,Fernandinho,Sterling
Liverpool:Alisson,Trent,Van Djik,Mane,Salah,Robertson,Firmino
 
Acha hizo aisee kwahyo degea pogba sio world class players pale utd ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama uko serious world class players hawafiki hata 20 kwenye EPL

Chelsea:Kante
United:currently hakuna
Spurs:Kane
Arsenal:Auba
City:Aguero,De Bruyne,Bernardo,Fernandinho,Sterling
Liverpool:Alisson,Trent,Van Djik,Mane,Salah,Robertson,Firmino
Tunasema mchezaji ni world class player kwa vigezo gani??

Au tunatumia tu hisia??
 
Tactically Ole siyo mbovu kama wengi tunavyotaka kuonyesha hapa mechi kubwa ndiyo hudetermine tactical brilliance ya Manager katika mechi kubwa zote this season kafungwa 2 tu zingine zote kashinda na kutoka Sare moja.

Shida kubwa ambayo imetukabili over the whole season ni Maturity ya squad yetu pamoja na kukosa creative players.

Squad depth imetuathiri sana kitu kilichotuondolea options pale tunapohitaji kufanya tactical changes.

Guardiola na Klop pamoja na profiles zao it took them a couple of seasons kutengeneza timu za ushindani leo tunataka Ole aanze kudeliver success katika kipindi kifupi wakati timu alikuta inaelekea kuoza yote ?

Bado naendelea kumpa benefit of doubt Ole mpaka pale atakapotengeneza squad yake kwa signings anayofanya ndiyo nitajua kuwa hawez.
Mkuu nakupa kongole, juu ya imani yako kwa OLE.
Ni vitu gani vinakufanya uamini, OLE atairudisha Man U enzi za fulaha na Mataji.?

Beggars can't be choosers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemeana na unach
Sidhani kama uko serious world class players hawafiki hata 20 kwenye EPL

Chelsea:Kante
United:currently hakuna
Spurs:Kane
Arsenal:Auba
City:Aguero,De Bruyne,Bernardo,Fernandinho,Sterling
Liverpool:Alisson,Trent,Van Djik,Mane,Salah,Robertson,Firmino
Inategemeana na mitizamo yako mkuu
 
Tactically Ole siyo mbovu kama wengi tunavyotaka kuonyesha hapa mechi kubwa ndiyo hudetermine tactical brilliance ya Manager katika mechi kubwa zote this season kafungwa 2 tu zingine zote kashinda na kutoka Sare moja.

Shida kubwa ambayo imetukabili over the whole season ni Maturity ya squad yetu pamoja na kukosa creative players.

Squad depth imetuathiri sana kitu kilichotuondolea options pale tunapohitaji kufanya tactical changes.

Guardiola na Klop pamoja na profiles zao it took them a couple of seasons kutengeneza timu za ushindani leo tunataka Ole aanze kudeliver success katika kipindi kifupi wakati timu alikuta inaelekea kuoza yote ?

Bado naendelea kumpa benefit of doubt Ole mpaka pale atakapotengeneza squad yake kwa signings anayofanya ndiyo nitajua kuwa hawez.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mjadala wa OGS anafaa au hafai, kwa mawazo yangu nafikiri tumuhukumu Ole baada ya msimu kuisha ndio tumfanyie comparison, mpaka sasa ktk Epl standing ana nafasi ya top4 akichanga karata zake vyema, mpaka sasa anashiriki Europa league, lolote linaweza tokea

Kuna ingizo la Bruno + Ighalo

Scot, Pogba wanarejea next week, ubora utaongezeka ktk kikosi

Pamoja na mapungufu ya Ole ila squad depths imetuathiri sana this season + injury key players + consistency of some players, kumbuka kina Fred/Scot walichelewa sana kuwa form, Martial uwa hatumuelewi, dogo James naye haelewek

Ninaimani ujio wa Bruno+Ighalo utafanya timu nzima kuwa form, kwa taharifa za Marbella uko spain some players wanasifia sana ingizo la Bruno, ni mchezaji anayejitambua pia he is a leader, kabadilisha hali ya hewa uko Marbella

GGMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spars pale world class ni dele Ali, son, Hugo , ndombele na sisoko ,kane wengne miyeyusho
Dah? hadi ndombele, Dele Ali na Sissoko ni worldclass players.

Naona wengi hatujui World class player ana sifa gani.

Maana kuna
WC player
Very Good player,
Good player
Average player.

Beggars can't be choosers
 
Back
Top Bottom