Yoranda
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 341
- 339
Kamsema mazima, martial, Rashford hawa ndio nimewaona wapumbavu kabisa linapokuja swala la ubinafsi.Lack of unity in united dressing room!View attachment 1351921
Kamsema mazima, martial, Rashford hawa ndio nimewaona wapumbavu kabisa linapokuja swala la ubinafsi.Lack of unity in united dressing room!View attachment 1351921
Watu bila aibu wanakupa stories za Grealish, Jimenez, sijui Sancho, Madison.Unaponiita mimi average unataka nipigwe ban la bure.
Wewe huna striker unaweza kumzungumzia kuja man utd umemuona Jimenez pekee? Kwanini sio Messi, Lewandosky, kwa nini unaleta gissip na kututusi bila sababu.
Nimechoka kuwekwa rumande, niachieni timu yangu. Tajiri Huyu grazer ananitia hasira sana, anawapa chances za kutuzungumzia mpendavyo,
Huyu grazers alipoichukua United tukamkatalia kuumiliki uwanja kama wake, uwanja sio timu, kama alinunua timu sio OT, hiki bifu linaendelea, kuna madeni club inadaiwa, Grazers wanadaiwa.
Wangese hawa wangetuletea world class watatu wanne hapa OT tungeuza, na tunge shaini, kocha asi geonekana kimeo.
Wanabana pesa, wananunua Sanchez kwa pesa na mshahara wote ule, wanasainiana na makocha kama Morinho as if kocha hatakuja kukosea, ona mahela aliyoondoka nayo Jose's. Ni upuuzi sana. Kuwekeana contact zabaina ile.
Sasa hiv tunahaha kutafuta wachezaji, kurudisha falsafa ya maishaya OT. Yasiwe yawe yatarudi tu.
Lukaku alitaka kuondoka na alim'face OGS uso kwa uso, unafaham madhara ya kumng'ang'ania mchezaj anayetaka kusepa? Umeona kirusi anavyofanya vitimbi?Unamuuza Lukaku kwasababu Martial anafut kwenye formation.View attachment 1354069
Sent using Jamii Forums mobile app
MhUnamuuza Lukaku kwasababu Martial anafut kwenye formation.View attachment 1354069
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuondoka kuna sababu.Lukaku alitaka kuondoka na alim'face OGS uso kwa uso, unafaham madhara ya kumng'ang'ania mchezaj anayetaka kusepa? Umeona kirusi anavyofanya vitimbi?
Kuondoka kwa Lukaku OGS hana kosa, tumlaumu kwa kutoleta replacement ontime
Sent using Jamii Forums mobile app
Lukaku alitaka kuondoka na alim'face OGS uso kwa uso, unafaham madhara ya kumng'ang'ania mchezaj anayetaka kusepa? Umeona kirusi anavyofanya vitimbi?
Kuondoka kwa Lukaku OGS hana kosa, tumlaumu kwa kutoleta replacement ontime
Sent using Jamii Forums mobile app


Wanacheza mpira mkubwa sana hawa watu.rasmi nimehamia sheffield united, nimekuja kutafuta washabiki wakuziunga mkono juhudi zangu...
the blades....... hivi bajeti yao ni shilingi ngapi hawa jamaa
View attachment 1354381
wanaonekana kuwa na timu bora zaidi yetu..... nimezungumzia timu na si kundi la wachezajiWanacheza mpira mkubwa sana hawa watu.
Pep alionekana kama junior coach kwa Wilder.
Watu bila aibu wanakupa stories za Grealish, Jimenez, sijui Sancho, Madison.
Yani average players tupu..
United is not a midtable standard team. This is a top rich club, our standards should be zaidi ya hapa tulipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuuza Lukaku kwasababu Martial anafut kwenye formation.View attachment 1354069
Sent using Jamii Forums mobile app
rasmi nimehamia sheffield united, nimekuja kutafuta washabiki wakuziunga mkono juhudi zangu...
the blades....... hivi bajeti yao ni shilingi ngapi hawa jamaa
View attachment 1354381
Grealish, Jimenez, sijui Sancho, Madison extremely average players. Beckham where are youWatu bila aibu wanakupa stories za Grealish, Jimenez, sijui Sancho, Madison.
Yani average players tupu..
United is not a midtable standard team. This is a top rich club, our standards should be zaidi ya hapa tulipo.
Sent using Jamii Forums mobile app