Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Watu wana hasira hawamtaki Kirus
Screenshot_2020-02-13-13-34-26~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa anachekesha, kiungo bora pekee dunia ya leo anadai sio world class? Foolish kweli hawa anti man utd.

Pamoja na tabia zake zisizofaa dressing room ni weakness zake tumuache nazo,ni kosa grazers kudhani, wakibaki na pogba, martial timu itafaulu, wale viongozi wana amakosa sana.

Lini Pogba alikuwa WC na lini ameacha kuwa WC??
 
Hahahah... unashindaje hiyo match kwa mfano....
Ole akiwa kwenye pressure ya kushinda haimpi tabu anashinda kirahisi tu.

Hili lipo pia kwa Martial anacheza mechi tatu bila goli siku mkitaka kumweka bench anatupia unasema ngoja tujaribu tena hii inconsistency ya namna hii ndiyo inayomtesa sana Ole.

It is true ingizo la wachezaji wapya litaleta impact fulani kwenye squad yetu kama watafit kikosini mapema.

Tukichanga karata vizuri top four tunaingia vizuri tu maana chelsea bado ana mechi kubwa nyingi kuliko sisi kikubwa inatakiwa tushinde game yetu dhidi ya Chelsea gape lipungue.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama uko serious world class players hawafiki hata 20 kwenye EPL

Chelsea:Kante
United:currently hakuna
Spurs:Kane
Arsenal:Auba
City:Aguero,De Bruyne,Bernardo,Fernandinho,Sterling
Liverpool:Alisson,Trent,Van Djik,Mane,Salah,Robertson,Firmino
Mnatumia vigezo gani kuwapata world class players!?
 
Tactically Ole siyo mbovu kama wengi tunavyotaka kuonyesha hapa mechi kubwa ndiyo hudetermine tactical brilliance ya Manager katika mechi kubwa zote this season kafungwa 2 tu zingine zote kashinda na kutoka Sare moja.

Shida kubwa ambayo imetukabili over the whole season ni Maturity ya squad yetu pamoja na kukosa creative players.

Squad depth imetuathiri sana kitu kilichotuondolea options pale tunapohitaji kufanya tactical changes.

Guardiola na Klop pamoja na profiles zao it took them a couple of seasons kutengeneza timu za ushindani leo tunataka Ole aanze kudeliver success katika kipindi kifupi wakati timu alikuta inaelekea kuoza yote ?

Bado naendelea kumpa benefit of doubt Ole mpaka pale atakapotengeneza squad yake kwa signings anayofanya ndiyo nitajua kuwa hawez.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ole ni mbovu kimbinu. Kushinda mechi kubwa haimaanishi yeye ni bora kimikakati,wakati mwingine ni kukamia tu game kunatupa ushindi. Kwa hiyo kitendo cha kushinda hizo game ulizosema hapo inamaanisha ogs ana mbinu zaidi ya hao makocha alowadindishia!? Mbona wao wanashinda mechi nyingi kuliko yeye
 
Ole ni mbovu kimbinu. Kushinda mechi kubwa haimaanishi yeye ni bora kimikakati,wakati mwingine ni kukamia tu game kunatupa ushindi. Kwa hiyo kitendo cha kushinda hizo game ulizosema hapo inamaanisha ogs ana mbinu zaidi ya hao makocha alowadindishia!?
 
Sababu zinazomwangusha.
1 Squad depth
2 Majeraha kwa key players
3 Imaturity ya squad.
4 kuporomoka viwango kwa baadhi ya wachezaji.

Vitu hivi hutokea kwenye timu yoyote kama ilivyo kwa Barcelona msimu huu, Atletico Madrid(sababu ya 3), Bayern (sababu ya nne) Man city (sababu ya 2 na 3).

Lakini tactically Ole is not that bad kama tunavyotaka kusema.
Ole ni mbovu kimbinu. Kushinda mechi kubwa haimaanishi yeye ni bora kimikakati,wakati mwingine ni kukamia tu game kunatupa ushindi. Kwa hiyo kitendo cha kushinda hizo game ulizosema hapo inamaanisha ogs ana mbinu zaidi ya hao makocha alowadindishia!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole ni mbovu kimbinu. Kushinda mechi kubwa haimaanishi yeye ni bora kimikakati,wakati mwingine ni kukamia tu game kunatupa ushindi. Kwa hiyo kitendo cha kushinda hizo game ulizosema hapo inamaanisha ogs ana mbinu zaidi ya hao makocha alowadindishia!? Mbona wao wanashinda mechi nyingi kuliko yeye
Hakuna kitu kama kukamia kwenye mpira..na kama kipo kina influence ndogo sana kwenye matokeo ya mpira..Quality players na mbinu ndo kila kitu..ukiwa na mbinu na huna Quality players ni kazi bure

Tumpe credit zake Ole kwenye baadhi ya mechi kubwa plan zake zimefanya kazi vizuri..mfano ile game na Liverpool OT,tuliingia na approach nzuri,tukawashika pabaya Liva,Klopp akawa analialia tu kwenye touchline,japo walikuja kusawazisha dakika za mwisho..Ni aina ya wachezaji tulionao ndo wamesaidia hili(Pace on counters)

Tukija kwenye mechi ndogo ambazo timu zinacheza low block,unahitaji aina fulani ya wachezaji ili uweze kubreak na kutengeneza nafasi..Nani wa kufanya hivyo??..Pogba majeruhi tokea msimu umeenza..James hawezi kuwatoka mabeki kwenye hizi low block..matokeo yake ni kukosa points..

Ole apewe muda,tum-judge wachezaji wote wakiwa fit na pia kukiwa na ongezeko sahihi kwenye kikosi

Naamini hata Klopp akipewa hii timu hawezi kuiamini..lazima atataka kuongeza watu..sasa kwa nini tum-write off kabisa Ole??

Pep mwenyewe juzi hapa amesema,yeye bila wachezaji bora ni hamna kitu

Tumpe muda tuone project yake itafika wapi

Mimi pia naumia tusipopata matokeo na nakuwa na hasira na Ole lakini naona siyo sahihi kumtupia lawama 100%..
 
Back
Top Bottom