Huyu kocha wa Sheffield anaitwa Chris yuko vizuri..guardiola mwenyew kasema anajifunza kwa huyo jamaa
Huyu kocha wa Sheffield anaitwa Chris yuko vizuri..guardiola mwenyew kasema anajifunza kwa huyo jamaa
Pochettino if possible
Allegri...deal la huyu lingefanikiwa!
Kocha wa saiv wa Rb l ya ujerumn nahic ni Julian N...man
Kuna Erik
Ole anafaaa kule Molde tuuu au aende ligi za Iran kule!

Pochettino karusha jiwe gizani
Hii ni message kwa OGS, yapaswa amalize ndani ya top4 kama anakipenda kibarua chakeView attachment 1355335
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi simuoni Pochettino kama mbadala sashihi wa OGS pale carrington,tunahitaji mtu aliyechangamka tayari.
Pamoja na kwamba Ole si mtu sahihi pale united,Poch pia hafai kuwa mbadala wake kama tunakusudia kuishuhudia manchester bora ndani ya kipindi kifupi.Pamoja na mapungufu ya Ole sidhani kama Poch ni mbadala sahihi, na Ole akifukuzwa tutaanza project mpya tena this is insanity.
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu inayogombania angalau kumaliza top 6 unaweka matumaini kuchukua ubingwa wa EPL kwenye situation ambayo Liverpool huenda akatuzidi point 40+ na wanaendelea kuimarisha timu yao?Kama Man united watamwondoa Ole Gunar Solkjaer na kumpa kazi Pochetino watakuwa wamefanya kosa kubwa sana ambalo litatupa seasons nyingine za kusubiri makombe.
Pamoja na mapungufu yake naamini Ole Gunar Solkjaer ataturudisha kwenye Glory days in a few seasons to come.
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu inayogombania angalau kumaliza top 6 unaweka matumaini kuchukua ubingwa wa EPL kwenye situation ambayo Liverpool huenda akatuzidi point 40+ na wanaendelea kuimarisha timu yao?
United mpaka leo hawajagundua matatizo yao,siku wakigundua na kupanga mikakati sahihi itawachukua miaka at 4-5 ndio wachukue ubingwa.Hakuna short cut kwenye mafanikio ya mpira
Pamoja na kwamba Ole si mtu sahihi pale united,Poch pia hafai kuwa mbadala wake kama tunakusudia kuishuhudia manchester bora ndani ya kipindi kifupi.
Spurs alikuwa na wachezaji world class lakini hakuwa na ushindi wa muendelezo.
Sivutiwi naye pia
Tumeshasema sana United ina matatizo mengi sana na yanaanzia kwa wamiliki wa timu na decision maker butLakini mapungufu ya united sidhani kama yanasababishwa na Ole peke yake na kumwondoa Ole hakutabadilisha kitu kwa sasa badala ya kuturidisha nyuma hatua mia tena.
Kama ni coaching man united imeajiri makocha world class wawili na wote walishindwa kuturudisha kwenye glory days sidhani kama tatizo la united la sasa ni coaching tu.
Kuwa na Ole is worth waiting kuliko kuanza upya tena from unsuccessful managers kama Poch na kina Nangelsman
Sent using Jamii Forums mobile app
Ole is clueless.Lakini mapungufu ya united sidhani kama yanasababishwa na Ole peke yake na kumwondoa Ole hakutabadilisha kitu kwa sasa badala ya kuturidisha nyuma hatua mia tena.
Kama ni coaching man united imeajiri makocha world class wawili na wote walishindwa kuturudisha kwenye glory days sidhani kama tatizo la united la sasa ni coaching tu.
Kuwa na Ole is worth waiting kuliko kuanza upya tena from unsuccessful managers kama Poch na kina Nangelsman
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakupa kongole, juu ya imani yako kwa OLE.